Recent content by kangesa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Majeshi ya Tanzania dhidi ya M23 nchini DRC

    Kagame anaendelea kuichukia tz mpaka kufa kwake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jirani mkorofi, anafugia ng'ombe kwenye ukuta wangu

    Alikuwa anamwaga kinyesi cha ngombe kwenye ukuta,ukimwambia anasema kwamba hicho kinyesi ukutani kwangu kinasogea chenyewe ila yeye huwa anamwaga kwenye shamba lake. Nilichukua vijana wawili na mimi tukawa mtu tatu nikakikusanya chote nikaenda kumwekea mlangoni kwake kabisa,aliponiuliza...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jirani mkorofi, anafugia ng'ombe kwenye ukuta wangu

    Pole sana,bila shaka atakuwa mmeru au mchaga huyo. Yupo hapa jirani yangu alikuwa hivyo lakini kaishia kwenye mikono ya mhehe mimi mpaka huwa anatamani kunisalimia shkamo wakati kanizid miaka 32
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jirani mkorofi, anafugia ng'ombe kwenye ukuta wangu

    Tia chumvi tu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je kunaulazima wowote wa kulazimasha wazazi kununua bidhaa shuleni

    Daftari ni la mwanafunzi na syo la shule
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

    Wigi? Hivi bado kuna wtu wanavutiwa na mawigi nowadays? Do you know kitu inaitwa natural color? Yaani mtu kama ni mweusi anakuwa mweusi kutoka unyayo wa mguu pitia sehemu za public mpaka kichani anakuwa mweusi na vivyo hivyo akiwa mweupe. Do you know kitu inaitwa natural hair? Yaani nywele...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

    Yaani wewe unachanganyikiwa na hawa ambao matiti yao yamedondoka? Je,sisi tunaofundisha form three mpaka six tufanyaje? Yaani form three to six mtoto ziwa saa sita kasoro afu na zile sketi na alegeze vifungo viwili vya shati kwa juu,aisee huwa nachanganyikiwa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania TFRA kuna janja janja sana

    Hayo mafunzo na cheti kwa ujumla vina umuhimu gani mkuu ili nijue tu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dhuluma na wizi unaofanywa na kampuni zinazokopesha bodaboda (pikipiki)

    Poleni sana. Nadhani kwenye kipengere cha mkataba waongeze sehemu ya kuondoa hyo GPRS ikiwa mtu atakaribia kumaliza mkataba na zimebakia asilimia hata kumi au akishamaliza asilimia zote basi hyo gprs iondolewe
  10. K

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mafuriko Morogoro mjini ni tuta la SGR, mamlaka zishughulikie hili

    Mm nasemaje wabunge wa ccm mwakani kazi mnayo,rais yeye ameshajihakikishia point tatu muhimu lazima apite
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi Mashuleni

    Lengo ikiwa ni nini?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

    Kwahyo unashaurije?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Aua Mke na Mkwe wake

    Mama mkwe kuna kitu alienda kulazimisha ili kuweka mambo sawa kwa upande wao
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tuna mifumo ya ulinzi ya makombora?

    Unataka kujua ili iweje?
Back
Top Bottom