Hivi Tanzania tuna mifumo ya ulinzi ya makombora?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Hivi Tanzania tuna mifumo ya ulinzi ya Makombora?

Israel kwa mfano wana yao roketi au kombola rikilushwa tu inadaka

Nimewaza ndo ukute kuna kikundi kinatishia taifa au watu kama Hamas au waasi furani wapo mahali kama nje ya mji ukute wapo hapo waamue kurusha maroketi au makombora kwa maelfu kuja Dar jee tutabaki sarama?

Jee yatatunguriwa au ndo tutakwisha?

Hamass wanalusha maloket mengi yangetua dar yale si madhara yangekua makubwa ivi?
 
Tuna makomando wanavunja hadi matofali kwa kichwa, ondoa shaka nchi ipo salama

images - 2023-11-15T074149.603.jpeg
 
Hatuna mkuu, mifumo inayo detect na kuintacept automatic bila kuamuliwa, hatuna.
 
Ya kazi gani!!!

Hata ikija vita ni taifa gani linalotuzunguka watakaokuwa na silaha za kutisha kiasi hiko,Africa sote tunaunga unga njaa elimu huduma za kijamii zote mbovu useme kuna nchi inajipanga kwa vifaa vya kisasa vya kivita?
 
Ukifa kwa bomu serikali itapoteza kodi ya kiasi gani?
 
Hii nchi haihitaji hizo vitu maana tunalindwa na mizimu. Na usifanye mchezo na mizimu ya kibongo, mkoloni mwenyewe alinyoosha mikono akakimbia.
 
Ya kazi gani!!!

Hata ikija vita ni taifa gani linalotuzunguka watakaokuwa na silaha za kutisha kiasi hiko,Africa sote tunaunga unga njaa elimu huduma za kijamii zote mbovu useme kuna nchi inajipanga kwa vifaa vya kisasa vya kivita?
Nadhan kwa afrika SA na Egypt vinaweza kuwepo
 
Ya kazi gani!!!

Hata ikija vita ni taifa gani linalotuzunguka watakaokuwa na silaha za kutisha kiasi hiko,Africa sote tunaunga unga njaa elimu huduma za kijamii zote mbovu useme kuna nchi inajipanga kwa vifaa vya kisasa vya kivita?
Uko sahii mkuu.

Ila, Uganda muda sio mrefu sana alipata/nunua attack helicopter, nadhani ni Mi-28, ya kirusi.

Sisi huku sidhani kama tuna helicopter ya mtindo huo.
 
Back
Top Bottom