Recent content by kanganyoro

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya Bashe kukatwa!

    Kwa sasa nafasi ya rushwa katika uchaguzi ndani ya CCM itakuwa finyu. So Wasomali kwa Mkoa wa Tabora imekula kwao. Bila kumkata Bashe Lowasa ataisumbua Serikali.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya Bashe kukatwa!

    Baada ya Mtia nia Lowasa kukatwa katika harakati zake za kugombea urais wa JMT sasa ni zamu ya wapambe wake wakubwa kukatwa na hasa Hussein Bashe ambaye inasemekana atagombea jimbo mojawapo Mkoani Tabora!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Hotel Levy bado ipo?

    Tusubiri wadau watujuze.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Hotel Levy bado ipo?

    Wadau wajuzi wa sheria, naombeni mnisaidie juu la uwepo wa sheria ya hotel levy namba 23 ya mwaka 1972 ambayo inaelekeza mmiliki wa nyumba ya kulala wageni (guest house) kulipa 20% ya mapato yake ghafi ya malazi kwa halmashauri. Nimejitahidi kuitafuta kwenye orodha ya sheria ambazo zilifanyiwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Kila la heri
  6. K

    JamiiForums Tanzania Chatu ammeza mlevi huko India!

    Ni uongo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Utamu wa Mke wa Mtu ni balaa

    Bahati mbaya
  8. K

    JamiiForums Tanzania Picha za gari aina ya range rover ambalo ni refu kuliko yote africa mashariki

    Inauzwa bei gani?
Back
Top Bottom