Recent content by kancher

  1. kancher

    Nahitaji Msaada wa Kazi – Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali

    ASANTE kwa ushauli, taufanyia kazi pia.
  2. kancher

    Nahitaji Msaada wa Kazi – Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali

    Habari wakuu! Pooleni na majukumu ya kazi, bila kupoteza muda ningependa kuandika ujumbe wangu moja kwa moja. Ninapitia changamoto kubwa ya kipato kwa sasa, huku nikiwa na familia inayonitegemea ya mke na mtoto mmoja. Najua maisha ni kupambana, na ndiyo maana najitokeza kwa unyenyekevu kuomba...
  3. kancher

    Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
  4. kancher

    Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

    Used from dubai imekuwa ni msemo kuvutia biashara, na kwasababu watu tunaamini kitu kilichotumika kutoka nje kinakuwa bora kama vile tunavonunua used magari kutoka japani kwasababu wenzetu hatumii bitu kwa mda mrefu. Hizi simu used zinauzwa kwetu zinzkuwa zimetumika mahali popote pale hata hapa...
  5. kancher

    Ndoto za simba na tafsiri zake katika matukio tofauti

    Simba ndiye mnyama mwenye nguvu kuliko wote katika uso wa dunia, na anajulikana kwa jina la mfalme wa porini, na kumuona katika ndoto ni moja ya maono ya mara kwa mara kwa watu wengi, kwani ni moja ya maono ambayo humtesa mmiliki wake kwa hofu na hofu, tafsiri ya ndoto hiyo inatofautiana...
  6. kancher

    Sisi Waafrika historia yetu iko wapo kabla ya ujio wa Wamisionari na Waarabu?

    Wafrika hatukuwa na historiabyeyote ya maana.. Tulikuwa hatujengi, hatuna technology yeyotebya maana kwa mtu mwenye akili timamu kuadopt. Jamii znyingi za kiafrika tulikuwa tunaishi kama unavyoona baadhi ya makabila ambayo hata sisi yunaona hawajastalabika kama wamasai wale wa ndani ndani...
  7. kancher

    Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

    😀😀😀😀 Kwamba niwatumiaji wa hiyo kitu?
  8. kancher

    Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    Baada ya mwaka yataisha kabisa.
  9. kancher

    Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Pole mkuu, nitafute tuzungumz vizuri
  10. kancher

    Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  11. kancher

    Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

    Nikishakuelewa swali lako, lakini kwetu kuchepuka ni kawaida tu. Na mifano mingi uliyopewa humu imeonyesha kutokujutia kwetu kuchepuka, liakini hilo huwa halituondolei upendo na heshima kwa familia zetu.
Back
Top Bottom