Recent content by Kana-Ka-Nsungu

 1. Kana-Ka-Nsungu

  Mimi ni mme wa mtu, ila nimempa staff wangu mimba, nifanyaje?

  Hongera sana mkuu! habari hii njema inabidi uipeleke kwa Bi Mkubwa.
 2. Kana-Ka-Nsungu

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Kama leo tungekua tunacheza na Barca au Bayern, jamaa wangecheza mpira wa kueleweka. Ni wazi kuwa jamaa walibweteka baada tu ya kuona kuwa tunacheza na Monaco, kwenye vichwa vyao walikua wanajua piga ua lazima washinde! Inawezekana kusonga mbele japo itakua ngumu sana if am being honest and...
 3. Kana-Ka-Nsungu

  Maisha ya mama Anna Tibaijuka kijijini Muleba

  Hii nchi inekua inaongozwa na watu waliopo serious, tungeanza na mnada wa hili jumba katika kurudisha chetu.
 4. Kana-Ka-Nsungu

  Khan atamsumbua sana Mayweather

  Baada ya kuona fight yake ya usiku wa kuamkia leo dhidi ya Devon Alexander na ile iliyopita dhidi ya Luis Colazo, naamini kama Amir Khan atapewa chance anaweza kuishangaza dunia kwa kuwa mtu wa kwanza kumchapa Floyd Mayweather. Maywether inaonekana sasa anaitaka fight ya Pacquiao lakini sidhani...
 5. Kana-Ka-Nsungu

  Bernard Hopkins V Sergey Kovalev vipi?

  Wakuu links zote za mtandaoni zimenigomea na hii fight nilikua naisburi kwa hamu sana. Naomba updates kwa anayeangalia humu.
 6. Kana-Ka-Nsungu

  Janga: Bodaboda zinaua watatu kila siku nchini

  Ingekua amri yangu ningezipiga marufuku kabisa. Zisitumike kibiashara, mtu akiwa na pikipiki iwe yake mwenyewe, unatumia at your own risk. So far kuna watu wangu wa karibu wasiopungua watano ambao wametangulia mbele ya haka kwa sababu tu ya bodaboda.
 7. Kana-Ka-Nsungu

  Usiniulize nimeipata wapi...

  Mi sioni kama ni big deal kivile! Kosa la kwanza, ni muhimu kujua sheria zilizopo au kanuni za jeshi zinasemaje. Wengi hapa hatujui tunarush tu kucomment na kuwajudge hawa binadamu wenzetu. Ukiangalia picha utaona kuwa wametafuta sehemu ambayo ni faragha kabisa, its not like wanafanyia kando ya...
 8. Kana-Ka-Nsungu

  Starlet ya 2m automatic

  Hata baby walker hupati:A S 109:
 9. Kana-Ka-Nsungu

  Mnakataza watu wasivute bangi wakati mnaruhusu rizla

  FACT- madhara ya sigara kwa binadaamu kwenye communities zetu ni makubwa kuliko ya bangi.
 10. Kana-Ka-Nsungu

  Hivi nyie watu wa DMV mkoje?!

  Nyani asante kwa kupost hii kitu hapa, I swear to god nilipoiona mara ya kwanza kwa Michuzi nilishindwa kuimaliza! I was cringing! Yani haya mambo ya kijijini kabisa bado watu wanayo huko US! Kujishebedua huku hata Dar hakuna ndo maana unaona hata JK mwenyewe anaonekana kushtuka, not sure kama...
 11. Kana-Ka-Nsungu

  Umevua mwenyewe nguo, Yanini kujifunika uso kwa viganja tena?

  Kama mzigo ni wako, i expect utakua unajua tarehe zake kwa hiyo hapa mi sidanganyiki asee, tarehe zipo kwenye diary kabisa! Pia mzigo wa siku zote unaweeza kuutafuna tu hata kama unavuja, haina noma as long as unajua hauna magonjwa ya ajabu ajabu na huna kinyaa cha kuogelea kwenye damu chafu!
 12. Kana-Ka-Nsungu

  Umevua mwenyewe nguo, Yanini kujifunika uso kwa viganja tena?

  Hahahaaa! michezo yenu michafu ya pwani siiwezi mie mtu wa bara bana!!
 13. Kana-Ka-Nsungu

  Umevua mwenyewe nguo, Yanini kujifunika uso kwa viganja tena?

  Bora hiyo mara mia, mia nilijua story yako itaishia kwenye majanga ambayo mara nyingi yemenikuta, kila kitu inekwenda sawa, umeshaingia gharama, ukiusasambua mzigo ukifika kwenye kufuli unatia mkono unakutana na ji pad la always limetunaaa kaa kigodoro!!!
 14. Kana-Ka-Nsungu

  Kupima HIV ni mara ngapi?

  Kuepuka gharama za kupima mara mbilimbili na kuokoa muda, kama umepiga kavu sehemu na una wasiwasi unatakiwa usubiri miezi mitatu ndo ukipima mara moja tu utapata majibu ya ukweli.
Top