Recent content by Kamwene kamwene

 1. Kamwene kamwene

  Msaada tutani: Mwenye mkataba wa biashara ya Bodaboda

  Mliotumiwa mkataba PM mtuwekee hapa nasisi tuusome
 2. Kamwene kamwene

  Computer4Sale Offer ya January: Pata computer kwa bei poa

  Iyo HP specification zake na Bei ?
 3. Kamwene kamwene

  Nawezaje kuweka maandishi yawe kwa mtindo wa EPUB?

  Salute mkuu, nawezaje kuyatoa maandishi yaliyoandikwa kwenye karatasi na ikupigwa picha .. nataka yawe kwenye mfumo wa text
 4. Kamwene kamwene

  Anahitajika mfanyakazi wa stationery

  Naomba nipigie mkuu naweza iyo kazi 0763386962
 5. Kamwene kamwene

  Naomba kujuzwa jinsi ya kurestall setting za simu tu bila kufuta Downloaded Apps

  me nimekuelewa vyema, unatumia simu gani ? fungua system nenda kwenye setting fungua reset option. nenda kwenye reset all system setting. usiende kwenye factory reset
 6. Kamwene kamwene

  Msaada kwa wenye ujuzi wa telecommunication

  kwa sababu umeuliza habari za Telecommunication najaribu kukujibu. kwenye kwenye transmit of signal kuna kitu kinaitwa modulation na demodulation. ndani yake humo unapata kitu inaitwa simplex na duplex, simplex ni kutuma taarifa kwa one direction duplex ni kutuma taarifa with one another in...
 7. Kamwene kamwene

  Natafuta kazi za ndani kama vile kufua, usafi, madukani au hotelini

  kila la kheri ,kwa imani Mungu atatimiza hitaji la moyo wako
 8. Kamwene kamwene

  What is your experience on this job?

  wakati upo chuo umewai kufanya field, ile ndio experience yako tosha
 9. Kamwene kamwene

  Je hizi ni CPU au ni kitu gani?

  kitaalamu ni system unit mkuu sio CPU
 10. Kamwene kamwene

  Mafundi electronics na network, hiki kifaa kinauzwaje?

  nenda kachek ebay mkuu. splicing machine million 40
 11. Kamwene kamwene

  Nakosea kuajiri Mwanaume duka la vipodozi?

  Kijana wako akiahindwa kazi mm nipo boss
 12. Kamwene kamwene

  Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

  sasa hapo kwenye hizo code mbona kuna R na S zote kwenye tairi moja. hiyo R inamaanisha nini
 13. Kamwene kamwene

  500 Business Ideas (Mawazo ya Biashara 500)

  business idea bado zinatumwa ?
Top Bottom