dimatteo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 868
- 931
Habari Wana jf,
Naombeni kuuliza wataalamu kwenye sector hii, nilikuwa nikisumbuliwa na sintofahamu kwenye mawasiliano ya simu na mwenzangu.
Ipo hivi nikiongea nae huwa nahisi sauti ya third party(mtu wa pembeni) ikiongea,nikikata nikija kumuuliza kwa text anasema yupo peke yake chumbani na yeye anakaa gorofa Kama ya nane hivi juu kabisa.
Mara nyingine tena alipiga simu yeye baada ya kuchati nae muda mrefu, ile napokea naskia sauti ya 'ME' wakati nilikuwa Nachati na 'KE' ikiniuliza maswali tofauti Mara inakata najikuta Naongea na 'KE' tena.
Sasa yeye anasema kutokana anakaa gorofani juuu Sana so inawezekana Kuna interference ya waves kwenye maongezi yetu...daaah nilijalibu kuwapigia Airtel nione watasemaje ila sikufanikiwa kupata msaada wowote.
Sasa Nduguzanguni naombeni kujua, je ni kweli Hilo tatizo la kuingiliana sauti ukiwa unaongea na mtu aliekaa gorofani juu kabisa ni Jambo la kawaida au ni janja janja tuu nafanyiwa?
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app