Mshika Tester
Member
- May 3, 2020
- 38
- 35
Habari wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza nahitaji kujua bei ya toner probe kwa hapa kwetu Tanzania.
Kuna jamaa aliniuzia network toolkit nzima 140,000.
Na hicho kifaa kilikuwemo.