Recent content by kamuakotekote

  1. K

    Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

    Ukitaka ufaidi ufanye hili Kila mnapotaka kumegana mmoja awe staring na mwingine awe anafuata maelekezo yastaring tu ili siku hiyo staring afaidi Siku nyingine staring awe mwingine yaani wewe kama siyo staring ni kufanya kila atakalo staring ili apate utamu zaidi Yaaani...
  2. K

    Nawaza sana hizi mila zetu Wasukuma

    Igunya litaendelea tu mpaka hapo tutakapokaa kikao na kuyamaliza Mbona umesahau chagulaga hebu lete Uzi huo wenye mashiko makubwa kwa jamii. Angalia pia kuwa mateso waliyonayo wanawake lkn kumbuka kuwa tutakapoitisha kikao uwe wa kwanza.
  3. K

    Tatizo la kuendelea kufeli kidato cha nne ni nini?

    Lkn hamuoni walivyofauru English na kiswahili khaaa siku zingine msifie. Jf fb Twitter nk lazima lugha hizo zipande.
  4. K

    KAWAMBWA.Shule za serikali zinachukua wanafunzi makapi.

    Kipindi cha nyuma tuliachwa kuchaguliwa kutoka shule za msingi na tuliofanikiwa kwenda shule za watu binafsi ndo tuliokuwa tunatesa kuongoza kwa matokeo mazuri Namaanisha kabisa kuwa mtoto yeyote anaweza kufanya ajabu ni mazingira rafiki tu kwa kusoma yatamfanya afauru vzr mashukuru mkuu...
  5. K

    KAWAMBWA.Shule za serikali zinachukua wanafunzi makapi.

    Ili mwanafunzi afauru vzr anahitaji maandalizi mazuri no pamoja na kuwabana na kuwalipa vzr walimu iliwaweze kumwandaa mwanafunzi Shule binafsi zinawalipa walimu vzr hili linasababisha walimu kujituma na kuwapa mbinu bora wana funzi wao kwa ufauru mzuri. Vitendea kazi kwa walimu na...
  6. K

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Kuna dawa nyingi sana za uti lakini inategemea ni mdudu gani kasababisha hilo tatizo na ustahimilifu wa mtumiaji Kujua sanasana kuwa ni dawa ipi labda ufanyiwe culture and sensitivity.lkn kama ukaongea na dactari yeye atakuuliza maswali aweza kubaini ni tabia ya wadudu gani wanaokusumbua...
  7. K

    Ushauri - Hospitali ya kujifungulia

    Kama inawezekana kafanye vopimo vya abdominal ultrasound ili kujua mtoto kalala vip katanguliza nn na ana umri gani Kama vipimo vitakuwa safi tegemea mkeo kujifungua salama kabisa na mtumishi yeyeto mwenye fani ya afya aweza kumsaidia popote tu na akajifungua vzr sana . licha ya...
  8. K

    Wanawake inawahusu hata wanaume pia

    Wakware wanakipenda nyuma.
  9. K

    Kwanini wanawake hawajiamini katika mapenzi.

    Hii ipo sana tu hata kama anakutafuta demu ndoo zao yaanani hasa wa mjini kwa kalumanzila wamezidi lkn wanaowafanya wanaume wawe vicheche ni wao tu kwa kuwa MTU akilishwa basi jua atakuwa na tamaa hivyo hatakomea kwake tu.
  10. K

    Azam haitaonesha Mechi Yanga na Al Ahaly

    Kwa hiyo channel gani itauonyesha?
  11. K

    Zuma akikamua

    Yaani mmezidi msije mtoa na paroko wa watu.
  12. K

    Week end special: Shepu za wanawake

    Picha yake tafadhari!
  13. K

    Free Internet Access Kwa Kila binadamu duniani

    Hii ndiyo ya ufreemansoni au ya upelelezi wa marekani?
  14. K

    Week end special: Shepu za wanawake

    Na mamba 7,6 umezisahau pekua tena dayari yako Utujuzu.
  15. K

    Angalieni hapa kwa mwanamke wa MMU

    Nasikia kichefuchefu want to vomit.
Back
Top Bottom