Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Wasukuma hasa tuliokulia vijijini tumezoea kulala katika kitanda kimoja muda mwingine kama kitanda hakitoshi huwa tunatandika iwe ngozi,mkeka au gondoro chini {kwa stail maarufu kama "igunya"} na kulala pasipo shaka ama hisia yoyote mbaya kwa muda mrefu.
Kufumka kwa tabia na kuwepo kwa watu wanaofanya tendo la jinsia moja maarufu kama mashoga,je kuna haja ya kuendelea na huu utamaduni wetu wa kulala pamoja ili kutoifanya jamii yetu isitushtukie?
Hii tabia yetu imekuwa ikitiliwa shaka sana hasa maeneo ya Zanzibar ambapo wao matendo hayo ni kama maji na bilauri. Haya nawasilisha kwenu. NB; tuacheni matusi ktk uchangiaji.