Hii ataiona kubwa sana mkuu ukilinganisha na uhalisia wa ardhini. Unapoambiwa eneo lina 100sqm maana yake ni kuwa ila wastani wa miguu 10 kwa miguu kumi. Na kwa haraka hilo ni eneo linalomezwa na nyumba moja tuu yenye urefu wa 10m na upana wa 10m na huwezi kuweka ata fensi.
Kwa hiyo tutaangalia game mbili tatu tuu za awali kwa nchi yetu uhondo wa robo fainali na kuendelea hatutauona kupitia ving'amuzi vyetu pendwa. Ila na huu mfumo nao unatutesa sana walaji maana kila king,amuzi kina flavor yake yaani kwa style hii mtu unaweza ukajaza ving'amuzi ndani na TCRA...
Habari zenu wadau. Ikiwa zimebaki siku kadhaa kabla ya michuano ya AFCON kuanza nchini Misri naomba kujua kama King'amuzi au kituo chochote cha Luninga ambacho kitarusha Mubashara michuano hii hapa nchini( TANZANIA) ukizingatia tuna uwakilishi wetu kule wa timu yetu ya taifa.
Natanguliza...
Umeahirishwa ili kupisha miradi mingine kwa mujibu wa taarifa ya waziri kama ilivyoripotiwa kwenye gazeti la mtanzania. Na ni eneo la 144km tuu sio yote. Nadhani kwa kipande cha ubungo-Kibaha kilichoanza kufanyiwa kazi kitaendelea kama kawaida.
Nilitarajia kama wamewekwa chini na wazee basi asingetokea yeyote kati yao ambae angeongea na vyombo vya hbr kurusha maneno kwa mwenzake. Sanasana wangeweza kuitisha mjutano wa pamoja wa vyombo vya hbr wakatoa neno la pamoja. Ingeleta faraja sana kuliko hivi ilivyo.
Kwa maono yangu SPIKA si kwamba hana busara ila hakupaswa kupanic kwa namna ambayo amepanic. Kwa sababu ata adhabu ambayo bunge imelitoa ni kama vile katoa yy maana yy ndie aliyedictate suala alipeleke kwenye kamati jambo ambalo nadhani angeweza kwanza kumalizana nje ya sheria yy na mzee...
Kwa namna mambo yanavyoendelea hususani kweli hili suala la CAG na SPIKA nimekuwa nikijiuliza sana hivi wazee wetu wastaafu ambao mara nyingi wamekuwa wakishauri sana kwenye nyakati ngumu za uongozi wa nchi yetu hili jambo ni kwamba wameliona la kawaida au wanaacha ili waone mwisho wake...
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya kilimo ameiagiza serikali kuhakikisha inawalipa wakulima wa korosho madai yao yote ifikapo 31/03/2019 bila visingizio.
Mama Ishengoma amesema hayo wakati kamati yake ilipotembelea wilaya za Newala na Tandahimba ambako walizungumza na wakulima walioiuzia serikali...
Duuuh. Huu ukali kwa
mafisadi upo wapi tena. Mwisho wa siku utasikia DPP hajisikii kuendelea na mashitaka watuhumiwa waachiwa huru. Huku tulitumia nguvu nyingi kuwakamata na kuwapaka oil chafu hadharani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.