Serikali yashindwa kuwaita mashahidi kesi ya kigogo wa Takukuru kwa sababu haina fedha za nauli ya kuwaleta

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,947
141,922
Wakili wa serikali ameiambia mahakama ya kisutu kuwa wameshindwa kuwaleta mashahidi wa kesi ya mhasibu mkuu wa Takukuru kwa sababu hawana fedha yu nauli ya kuwasafirisha.
Wakili huyo wa serikali amesema mashahidi hao wako mikoani na wamedai hawana nauli ya kujisafirisha hadi Dsm.

Hata hivyo Hakimu mh Simba ameitaka serikali kuwaita mashahidi hao kwani utaratibu wa kuwalipia gharama mashahidi unafahamika.

Source ITV habari!
 
Dikteta na dhalimu hawezi kukosa pesa kama wahusika ni wa kutoka Chadema ili tu atimize unyama wake. Takukuru inakosaje pesa ya kuwasafirisha mashahidi? Ndiyo tuseme bajeti yao ni ndogo haitoshi au ni mkakati wa kumuachia huru huyo kigogo? Maana kama hakuna mashahidi basi hakuna kesi.

Kuna mwanasiasa mmoja wa upinzani aliwahi kusafirishwa kutoka dodoma hadi DSM na vyombo vya dola kwa ajili ya kwenda kuswekwa mahabusu. Sikumbuki alikuwa ni Nani.
 
Dikteta na dhalimu hawezi kukosa pesa kama wahusika ni wa kutoka Chadema ili tu atimize unyama wake. Takukuru inakosaje pesa ya kuwasafirisha mashahidi? Ndiyo tuseme bajeti yao ni ndogo haitoshi au ni mkakati wa kumuachia huru huyo kigogo? Maana kama hakuna mashahidi basi hakuna kesi.
Kama una nauli saidia kuwapeleka kamanda!
 
Hivi huyu Johnthe Baptist amedhulumiwa buku 7 zake pale Lumumba nini? Au Polepole kamtimua? Mbona naona siku hizi anapost dhidi ya serikali ya ccm?
 
Duuuh. Huu ukali kwa
Wakili wa serikali ameiambia mahakama ya kisutu kuwa wameshindwa kuwaleta mashahidi wa kesi ya mhasibu mkuu wa Takukuru kwa sababu hawana fedha yu nauli ya kuwasafirisha.
Wakili huyo wa serikali amesema mashahidi hao wako mikoani na wamedai hawana nauli ya kujisafirisha hadi Dsm.

Hata hivyo Hakimu mh Simba ameitaka serikali kuwaita mashahidi hao kwani utaratibu wa kuwalipia gharama mashahidi unafahamika.

Source ITV habari!
mafisadi upo wapi tena. Mwisho wa siku utasikia DPP hajisikii kuendelea na mashitaka watuhumiwa waachiwa huru. Huku tulitumia nguvu nyingi kuwakamata na kuwapaka oil chafu hadharani.
 
Hivi huyu Johnthe Baptist amedhulumiwa buku 7 zake pale Lumumba nini? Au Polepole kamtimua? Mbona naona siku hizi anapost dhidi ya serikali ya ccm?
Hahahaa....... Rais Magufuli anataka mafisadi washughulikiwe lakini mawakili wa serikali wanapiga danadana.
Ni jukumu la wanaccm makini kama mimi kuikumbusha serikali!
 
Back
Top Bottom