Kamtwanje H
Member
- Oct 16, 2010
- 15
- 12
Au cheki mchoro huu hapa ila vyumba vyote marefu na mapana yanatakiwa yawe sawa yaani urefu mita moja na upana mita moja, Ukihesabu vyote utakuta vyumba 100. Sasa hamishia mawazo ya kwenye uwanja pia rejea comment namba 5 utaelewa zaidi sasa halafau leta mrejesho kama imeingia kumkichwa
View attachment 1139935
Hii ataiona kubwa sana mkuu ukilinganisha na uhalisia wa ardhini. Unapoambiwa eneo lina 100sqm maana yake ni kuwa ila wastani wa miguu 10 kwa miguu kumi. Na kwa haraka hilo ni eneo linalomezwa na nyumba moja tuu yenye urefu wa 10m na upana wa 10m na huwezi kuweka ata fensi.
