Recent content by kamtu

 1. K

  ilidondokea mdomoni tu,. mimba, inawezekana?

  Wanaume wa aina hii wananiboa to say the least
 2. K

  Wazito PPF wachota ‘vijisenti’

  I hate this country at least now
 3. K

  May 2008 Job Vacancies

  Thanks Bro. Pia kwa yeyote anayehitaji research assistants, data collectors graduates na wenye uzoefu wa kazi hii, wanaoweza kusafiri mkoa wowote na kufanya kazi katika mazingira yoyote wasiliana na jucharl@yahoo.com utapata manpower ya kutosha karibu
 4. K

  Mkapa above the law?: Allegations

  Hivi mkapa naye bado anatembea na msafara
 5. K

  Hivi tunakosa basic decency kabisa jamani?

  Offcourse hao wanaosambaza huo upuuzi tena bila kuombwa wanadhani watu wote wanapenda kushabikia upumbavu wao. I am sorry i am so touched though sijaona hiyo email thats why nikashindwa kuweka wazi what i mean
 6. K

  Hivi tunakosa basic decency kabisa jamani?

  Hawana heshima hata kidogo
 7. K

  Hivi tunakosa basic decency kabisa jamani?

  aThanks Pundit, I am touched by your maturity. Unajua huwa nashindwa kuelewa watu huwa wana matatizo gani hadi kufikia kufanya unyama wa aina hii, hivi cost yake kwa muhusika mnaijua? hata kama ni malaya kama mnavyodai bado ana utu thats why anafanya kile kitendo privately na siyo barabarani kwa...
 8. K

  Mkandala ajiuzulu?

  You should have known that he is a mura where always R is the king hahahaaaa
 9. K

  Role of Indians in the Tanzanian Economy

  Nawashangaa sana watu wanaowakumbatia na kuwaita wenzetu wakati wao hawatutambui kama wenzao na ndo maana hata kuoleana ni nadra sana, watu wanaofanya kazi kwenye institutions zao wanaweza kusema, yaani ni ubaguzi kwenda mbele.Management positions zote wanapeana kwa gharama yoyote hata kama kuna...
 10. K

  Confused, please help

  Bi mkubwa once again nimekusoma, i will try what you suggested and see if the situation gets any better
 11. K

  Confused, please help

  Kusema ana mahali anapotoa pesa yani nyumba ndogo sidhani coz this was the first thing i investigated, no he has no affair. I THINK NI AINA FULANI YA TABIA YA UBAHILI AMBAYO sijui niiteje,pia aina ya wanaume ambao ni academician type nafikiri wana shida flani na social life kuna ile tabia ya...
 12. K

  Confused, please help

  Thanks for understanding bi mkubwa. Ukweli ni kwamba mwanzoni hakuwa hivyo may be ni kwa sababu hakuzoezwa kuombwa pesa kila wakati, na kusema anakomoa sidhani coz hana sababu ya kufanya hivyo, i guess its pure makusudi. 2. its true makubaliano ya nani atabeba majukumu gani hayakuwepo 3...
 13. K

  Confused, please help

  please try to understand before you say anything. Imeelezwa wazi kwamba kimsingi the woman is doing all she can for the house but it has reached a point the man doesnt feel responsible for anything, ina maana ni haki yeye kuacha kabisa kusaidia kwa kigezo kuwa wanawake wasiwe tegemezi? she is...
 14. K

  Confused, please help

  Inakuwaje unapokuwa na mume mjeuri ambaye hataki kutoa matumizi ndani ya nyumba kisa tu sababu umemzoeza kutomwomba pesa mara kwa mara sasa anadhani you can manage yourself all household expenses, na si kwamba hana pesa ana kipato kizuri tu kuzidi mkewe. Eti sababu mkewe ana kazi yeye anasema...
 15. K

  Uwanja wa ndege kukodishwa Wachina

  watakodisha na kubinafsisha hadi wake za watu kwa kasi hii, haya tu.
Top Bottom