Kidzogolae
Senior Member
- Apr 20, 2008
- 133
- 2
Hivi, inawezekana kuwa, mtu akapata mimba wakati mbegu zilikuwa zinaenda polepole sana? yaani ni hivi, mimi ni mwanaume, nilikuwa nafanya ngono na msichana fulani hivi. nilikuwa sihitaji nimpe mimba. wakati nataka kuijaculate, nilitoa nje ili imwagikie nje. nilihisi mbegu zangu haziendi kwa kazi, na zilikua chache sana kwasababu jana yake nilikuwa ktk mchezo huohuo kwa mziki mkubwa sana mara nyingi. hivyo nilijua kuwa nimeondoka bila kumtia mimba. cha ajabu, kwa siku zilezile, nilikuja kuambiwa na yule dada kuwa nimemtia mimba. naomba kuuliza. sitaki kama ni mimba yangu niitelekeze kwani nitakuwa nimetelekeza mtoto wangu.
hivi, mimba huweza kutungwa, hata kama mbegu haikuwa kwenye speed?yaani kadogo tu kalidondokea mlangoni wala si ndani? ni speed gani ya mbegu inahitajika kuifikia fallopian tube? hata kaspid kadogo tu? nisaidieni hapo jamani.