Recent content by kamrume

  1. K

    JamiiForums Tanzania Shukurani kwa hili jukwaa limenifanya leo hii naanza kuheshimika kwa watu wangu wa karibu

    Unafanya kazi gani huko ndugu na upo nchi gani mbona unaificha
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu kamaliza shahada ya udaktari 2023 hadi leo hajaajiriwa, jumatatu nampeleka Veta akajifunze udereva wa malori

    Fani ni muhimu mtaani watu wanaishi vyema sana Tena wakati mwengine hawana stress za maisha kabisa kama hao wasomi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

    Wapo wengi tu vijana wadogo ambao wamejipapatua kivyao katika ujasilia mali wengine wametumia vipaji vyao walivyopewa na mungu kuwa na nidhamu binafsi na ya pesa jumlisha uaminifu katika jamii wakatoboa mapema
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Njiti huyo kaka
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

    Kuna wimbi la wasanii wa bongo kukimbilia huko kuishi haya warudi nyumbani sasa
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashoga (Kaka Poa) wanavunja ndoa za watu: Dada zetu inabidi mpambanie ndoa zenu

    Astaghafilullah Dunia inakwenda pahala sipo Allah atuhifadhi
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wameanza kumkumbuka Gamond

    Ndio matokeo ya mpira nyie tulieni kila mtu acheze mechi zake hata stars alifungwa haha na congo lakini alifanikiwa kufuzu kwenda afcon
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba yamtangaza Zubeda Sakuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu

    Mtuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hili suala la Vifurushi vya visimbuzi vya bure lina ukweli au ni utapeli?

    Ngoja wajuzi wa mambo watujuze
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumchezesha abdulrazak ilikuwa ni risk

    Yanga bwinga. Ooooh yanga bingwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lugha gongana! Hahaaaa mfupa uliomshinda fisi

    Ebwana noma sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego aamua kujianika wazi katika video ya MR NEY

    free mason imeleta mambo hata ukijamba utaambiwa umejamba ki free mason
Back
Top Bottom