Recent content by Kampungapunga

  1. Kampungapunga

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo nimekumbuka mengi yaliyoniumiza

    Nimemkacha tu mkuu
  2. Kampungapunga

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo nimekumbuka mengi yaliyoniumiza

    Parick ya wahind
  3. Kampungapunga

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo nimekumbuka mengi yaliyoniumiza

    Mambo vipi wadau natumai mko poa huku tukijenga taifa letu kwa umoja kabisa japo changamoto ni nyingi. Leo mchana nimeshangaa natumiwa sms ya salam na Ex wangu via insta , nimebaki najiuliza hivi huyu kakumbuka nini kwangu wakati aliondoka kwa mbwembwe nyingi hata simu yangu alikua hapokei...
  4. Kampungapunga

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari. Bajeti yangu ni milioni 8 hadi 10

    lift gharama, Nicheki kwa 0787139976. nina rav4 namba A nataka m7 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kampungapunga

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya hewa ya leo ibarikiwe sana

    Wadada tunapowahitaji katika kipindi kama hiki mjaribu kuitika wito mapema na kama hauji basi toa taarifa mapema ili mtu afanye alternative nyingine siyo tunawasikilizia baadae mida ishaenda unasema hauji mnatuumiza sana, ukizingatia hali kama hii ni adimu hapa Dar. Asanteni, tubarikiwe wote...
  6. Kampungapunga

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

    Nina rav4 namba A mwaka 1998 rangi nyeusi bei million 7 na nusu nicheki 0782139976.
  7. Kampungapunga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zijue mbinu 5 za kumtongoza msichana yeyote mrembo hadi akubali

    Hii namba 3 kwanza sijaielewa mana mademu wengi hawataki uwapigie usiku sababu ana vidume wengi inawezekana mida hiyo kaenda kulala kwa Jafar, hapo si ndo ataona unamzingua kabisa.
  8. Kampungapunga

    JamiiForums Tanzania Ngoma jipya la Koffi Olomide

    Naidikiliza hapa job kwangu kwenye pc video nzuri sana.
  9. Kampungapunga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu kwani nakosea wapi mabaharia wenzangu!

    Duuuh maendeleo tanzania ni ndoto.
  10. Kampungapunga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimegundua huu ni moja ya uchawi mkubwa kwa wanawake

    Tusiokua na magari tuna maumivu makali sana nadhani umejionea.
  11. Kampungapunga

    JamiiForums Tanzania Tambua jambo la kufanya kufanya endapo utashambuliwa na simba

    Mkuu simba ni habari nyingine, mwungurumo wake tu ukiusikia hata ukiwa ndani unatetemeka hatari sasa ukikutana naye live inakuaje?
  12. Kampungapunga

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

    bila kusahau m23
  13. Kampungapunga

    JamiiForums Tanzania Unaweza ukawa unatamani mali za watu ila shukuru kwa ulivyonavyo, inakupa kujiamini

    Maisha haya ndio mana wanasema usitafakali unakoenda bali tafakali ulikotoka, nakumbuka nimeanza kuvaa viatu yaani vya kwangu kabisa nikiwa darasa la nne kabla ya hapo nilikua napekua all the time hata ikitokea nikapata ndala ilikua lazima zivaliwe kwa siku maalumu. Nakumbuka kuna kipindi...
  14. Kampungapunga

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawasiliano na watu wa Kikuu. Naona wanataka kunidhulumu

    Hawa jamaaa mi sijawahi kuwaamini kabisa
  15. Kampungapunga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria ikoje hapa tafadhali nisaidieni

    Mmmh
Back
Top Bottom