Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Mambo vipi wadau natumai mko poa huku tukijenga taifa letu kwa umoja kabisa japo changamoto ni nyingi.
Leo mchana nimeshangaa natumiwa sms ya salam na Ex wangu via insta , nimebaki najiuliza hivi huyu kakumbuka nini kwangu wakati aliondoka kwa mbwembwe nyingi hata simu yangu alikua hapokei.
Nilichofanya nimemwitikia tu then nikafuta sms niliyomjibu, badae nikaona ananitumia alama ya mshangao mi nikamute tu mpaka sahivi. Sijataka hata kumuuliza habari za siku mana huyu alinifanyia unyama japo unyama huu umenisaidia kupata mrembo anayenielewa na tayari naishi naye, kumbe ukimpiga teke chura umemuongezea hatua.