Recent content by Kampini

  1. K

    Huyu Shem simuelewi aisee...

    Poyoyo kweli,mijitu mingine bwana,fursa hamzitumii kabisa
  2. K

    Tunaopenda sana wake zetu ila tuna michepuko tukutane hapa

    Dah,hii kitu nasali niishinde lakini wapi.
  3. K

    Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

    Na bado,utawapigia saluti vijana wenye shahada zao hadi ukome,mpo wengi mnaojipa moyo kuwa chekechea ni zaidi ya darasa la saba.
  4. K

    Nimechanganyikiwa mwezenu

    Nyamafu kweli wewe dada. unasema alikuwa anakusumbua sana huyo kijana wako (hawara hana talaka) bila shaka usumbufu wake uliujua,ukainua makongoro yako kwenda kumsikia baada ya kuona kwa simu haitoshi,kama ulimtolea nje na jamma akayarecord maongezi yenu kwanini akuache (ukatoa appointment ya...
  5. K

    Wiki mbili baada ya kubaguliwa rangi, Mwenzao kanasa kwenye penzi kwangu!!ILA...

    Isije kuwa ni mwenzetu hapa Melboune unayesumbua na bibi wa kizungu afu unakuja kutishia watu huku JF,una bahati id zimefichwa lazima ningekuumbua maana hii story inafanana sana na ya huyu MTZ mwenzetu.
  6. K

    PICHA: Mikutano ya M4C - Operesheni Pamoja Daima leo Januari 25, 2013

    Chonde chonde CHADEMA kapigeni jalamba Rukwa hasahasa Sumbawanga vijijini kata za Mpui,Kaengesa,Laela,Miangalua,Msandamuungano na bonde la Rukwa.
  7. K

    Baraza la maaskofu katoliki (TEC) limbane Polycarp Pengo kuhusu anavyokataa Serikali tatu

    :llama:ukiona hujui undani wa jambo ni busara kupita tu,kuwa ex seminarian kama wengine walivojitutumua hakukuongezei ufahamu wa kanisa na kanuni zake. Kardinali yupo sahihi na wala hapingani na msimamo wa TEC.
  8. K

    nahisi naibiwa

    Vipi jina lake linaanzia na L au H? Maana kuna mmaoja namgegeda na kaniambia anatafuta namna ya kumwacha jamaa yake,isije kuwa ni wewe.
  9. K

    Safari yangu Kilimanjaro: Nilichokiona kwa Wanawake wa Ki-machame

    Kitendo cha wanawke wa kimachame kuogopwa si tu na vyasaka bali na hata vijana wenzao wa Uchagani,kumewafanya wawe na bidii ya kujitafutia riziki. Kwa wanawake wengi wa eneo la Hai (Machame kwa ujumla) kwao kitu kuolewa ni jambo la ziada sana tofauti na makabila mengine. Ni kwa msingi huo wao...
  10. K

    Ezekiel Maige: Ni kweli ninamiliki nyumba ya kifahari Afrika Kusini

    Wizi mtupu,hadi vijana waje kuamka na kuchukua hatua tz,tutakuwa na mashimo tu na mbuga za wanyama kubaki historia.
  11. K

    Wanaume wenzangu,acheni tamaa na watoto wa vyuo,wameungua.

    Upo sawa mabinti walio wengi vyuoni kugawa mgegedo hovyo ni jambo la kwaida sana. Mie ilifika mahali nikahisi labda vyuoni kuna kozi inafundishwa ya initwa KUGEGEDWA, Kumbe hata haipo.
  12. K

    Yaliyojiri: Mkutano wa Joseph Mbilinyi maeneo ya TEKU - Jan 17, 2014

    Kuwa msomi si idadi ya madarasa ulipitia tu,hiyo haitoshi hata kidogo bali ni namna ya kuyatambua mazingira yanayokuzunguka na hata yasiyokuzunguka na kuyamudu hasa. Mfano. Kama professor anafungua bar na raia wa kawaida akafungua bar na hao wawili wakayamudu mazingira yao kwa kiwango sawa,je ni...
  13. K

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Ugonjwa wa Dr.Kitila Mkumbo wa kumshabikia Zitto baadala ya itikadi ya chama na sera zake asione kuwa watanzania wote wapo hivyo. Hili ni kosa kubwa ambalo wanalo wasomi wengi hapa nchini wa kudharau wananchi wa kawaida kwa kujiaminisha kuwa wapo sahihi. Si dhambi hata kidogo mtu kushabikia...
Back
Top Bottom