Huyu Shem simuelewi aisee...

Huyu Shem simuelewi aisee...

Ukitaka kujua mambo/tabia mbaya za mpenzi wako basi tembea na rafiki/best yake. Atakwambia siri zote usizozijua kuhusu mpenzi wako na mambo kedekede.
Mbona huna akili ya kufikiri, sasa ukianza kutembea na rafiki wa mpenzi wako wewe unafikiri rafiki yake atamuongelea vizuri??lazima amponde ili achukue nafasi kiulaini
 
Ila kuna watu wazembe sijapata ona!!!

Iyo nyama umeiacha iende ivo ivo
 
Seems ulimuelewa lkn umepata hofu baada ya kuhisi atakua anafanya kamchezo na mpenz wako? Fuata mawazo yako mzee hakuna majaribu ya namna hiyo hata Ngwair mwenyewe hakuacha mtoto aondoke
 
Kwa taarifa yako hiyo Dada anataka kulipiza kisasi alichofanyiwa na demu wako kwa jamaa mwingine. Demu wako hajui kama hiyo demu alifahamu kuwa alimzunguka. Piga kimya kimya
 
Back
Top Bottom