Habarini...
Kuna kijana mzoefu na mchapakazi sana mwenye ujuzi wa kilimo cha kisasa cha mazao ya mbogamboga pamoja uzoefu wa kutosha katika ufugaji wa kuku wa kienyeji,
Anatafuta mdau mwenye shamba wafanye project au mwajiri wafanye kazi pamoja.
Yupo tayari kufika popote now yupo Kibaha.
Habarini members.
Kuna mzigo wa vanilla safi iliyokaushwa vizur unatafuta mnunuzi/mteja.
Kiasi kilichopo:Tani 40
Bei kwa kilo : Tsh1,100,000/= (negotiable)
Mahali mzigo ulipo: Comoro
Mzigo unafika mahali popote ukihitaji karibu PM for more details
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.