Recent content by kamni

  1. K

    JamiiForums Tanzania Routers za kampuni gani nzuri kwa biashara?

    Karibu sana mkuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Routers za kampuni gani nzuri kwa biashara?

    Ukishapata router naomba uje nkuuzie unlimited internet ya Tigo mkuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nje na ndani ya fani ya manunuzi na ugavi

    Nikikupa Kazi ya sales utafanya? Maana vijana tunawauzia Kazi wakiona hawakati kwenye viti kuzunguka wanaishia mitini unabaki unajiuliza huyu anataka Kazi/Hela au anapima upepo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ajira yoyote

    Ungekuwa Mwanza ningekusaidia maana kazi inakutaja uwe Mwanza. Mungu akupe wa kukushika mkono kijana.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya HR, Administrator, Sales au Tutor

    Unapatikana wapi Kuna kazi lakini lazima uwe Mwanza
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Habari wakuu, natafuta vijana wa kufanya mauzo ya huduma za Tigo. Malipo ni kwa commission Kila mwezi. Itapendeza akiwa Mwanza. Kwa mawasiliano zaidi 0712293364.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale wote ambao wake zao ni wafanya kazi / waajiriwa asee poleni sana!

    Una akili Sana na utafika mbali
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanaolewa ili kupata urahisi wa maisha na sio upendo wa kweli

    Kuna baadhi ya watu watazeeka kwa mateso Sana, time will tell
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake Wana roho mbaya, aibu hawana na kujificha hawawezi

    Mume wangu popote alipo asije kuwapeleka wanangu kwa mchepuko tafadhali atakuwa kanikosea Sana.[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
  10. K

    JamiiForums Tanzania BRELA ni kero kuanzia kufungua kampuni mpaka kwenye jina la biashara

    Mkuu je Kuna malipo katika kusajili jina la biashara?
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Walaka mzuri Sana, big up mkuu.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

    Eti chwi chwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nime imagine nyama yenye mafuta inavyokuwaga nayeye atavyokuwa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hvi ukiwa na cheti kilichoscaniwa then ukakiprint kikawa coloured wanakikataa pia ukiena interview utumishi? Nisaidia please
  14. K

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status : job seeker. Proffesion: Mass communication( Public relations) Experience : customer care/ customer Representative Education level : Degree Location (currently ): Kahama. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo juu ya biashara ya rasta za kike

    Carton linakuwa na rasta PCs ngapi? Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom