Recent content by kamlamba

  1. kamlamba

    Jenerali Mabeyo(JWTZ): Kuna Viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi. Hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo

    Aman itakuwepo kweli naona km wimbi la watu kupoteza maisha linaongezeka tena wasomi sasa si hatari hii
  2. kamlamba

    Uhamiaji yawakamata raia wawili wa kigeni wakifanya kazi Serikalini

    1986 mpk leo mi nadhani idara husika waanze kujihuzulu kwnz
  3. kamlamba

    Kwanini watu wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe wengi wao ni weusi sana?

    Mimi nashindwa kuelewa weupe ndani ya uafrika ulitokana na nini maingiliano na wageni au? Mi sipati picha manayake weupe pia unatofautiana na nahisi hii dhana kichwani mwangu ina mashiko!!
  4. kamlamba

    Jaji Mutungi: Rais Magufuli hajafuta mikutano ya kisiasa

    Siku zote mahakimu majaji ni vivuli vya watawala hasa nchi za Africa! !
  5. kamlamba

    Tujulishane tabia za wachaga

    Sijaona ushauri hapo kwakua naona wachaga wako tofauti kila ukipita kilima na kilima tofauti pia labda tujue mchaga wa wapi!!
  6. kamlamba

    Rais wangu Magufuli, huu ni wakati wa ku-act Udikteta wanaokusingizia. Anza na Jenerali Ulimwengu

    Kwani ukweli una kua na mantiki ukiwa raia?mi nadhani ukweli ni ukweli tu kwani nikatiba tu ?vitambulisho vya uraia? (NIDA)
  7. kamlamba

    Mchumi: TRA haiwezi kukusanya kodi ya Majengo

    Mi naona mifumo hii imelemaa lakini kuna uwezekano wa kulipa kodi kwa kuzingatia mazingira halisi mfn maduka madogomadogo ya rejareja yangekua yanalipa ushuru kwa serikali za mitaa kila cku labda 500 au 1000 wangekua wanakusanya kwa mwaka hela nyingi sana ila TRA wanasubiri wapelekewe laki 2...
  8. kamlamba

    Mapato ya TRA mwezi Juni yatashuka

    Nilidhani nimeona mimi tu lakini kama meli hazipo manayake hatuagizi tena aidha kwa shinikizo la ndani la kibiashara au mzunguko umekufa!! na asikuambie mtu biashara ina principle zake mfn nilisikia sukari ilikamatwa ikagawiwa taasisi za serikali bure hii manayake nini ?manayake mtaji umekufa...
  9. kamlamba

    Mapato ya TRA mwezi Juni yatashuka

    Hili la biashara kufa linanigusa kidogo hapo nilipita na pantoni nikienda kigamboni nikatupia macho shamba la meli mbele ya bomba la maji machafu hakuna meli kabisaaa sijajua nini tatizo!! Najua tunalenga uchumi wa viwanda lakini pia hatutaupata kwa kipindi kifupi hivi!! Mwl nyerere alifungua...
  10. kamlamba

    MWANZA: Polisi kwa kushirikiana na JWTZ wapambana na Majambazi usiku kucha

    Mbona habari inakuja kama nikundi kubwa na silaha kubwakubwa za kivita Mwisho inaishia bastola moja nini hii?
Back
Top Bottom