Wanajamvi, usiku wa leo nilikuwa naoga mida ya saa4 unusu hiv usiku. maji yakapelea nikamwagiza mdogo wangu anongezee maji. Kama kawa alishazoea akitokka anapiga roky. Ebwana eh namaliza kukoga mlango unagoma.
Nikajipa moyo kwa vile nilikuwa na kisimu cha tochi kina line ya Tigo (maana ndani...
Ndugu,
HEBU ACHA JAZBA
Ni kwamba kisukuma kinaongoza kwa kwa kuwa na waongeaji wanaokitumia kama lugha yao ya kwanza tofauti na kiswahili kina waongeaji wengi lkn sio lugha yao ya kwanza [mother tongue]
wengi wetu hujifunza kiswahili lkn kisukuma hawajifunzi ila wanakua nacho ndo maana...
Ni kwamba kisukuma kinaongoza kwa kwa kuwa na waongeaji wanaokitumia kama lugha yao ya kwanza tofauti na kiswahili kina waongeaji wengi lkn sio lugha yao ya kwanza [mother tongue]
wengi wetu hujifunza kiswahili lkn kisukuma hawajifunzi ila wanakua nacho ndo maana kinaongoza kuwa na `native...
ndg hiyo sio ajira ya kujipendekeza wala ya kuomba. Hapo unapoish usalama wa taifa wanakujua tu kwa hiyo kama watachunguza nyendo zako wakaridhika basi utashtukiwa unakamatwa na kupewa taratibu za kufanya kazi.
Mkuu usijipe presha kazi hii haitangazwi popote hivo wanaounganishwa ni kwa siri...
Yaani bora umesema ukweli. Maana watu tumeshajengewa kama kauadui kwa jambo ambalo hatuuelewi kiufasaa. Naungana nawe WALE WENYE UJUZI TU NDO WACHANGIE kuhusu hili.
Naomba tuilinde TANZANIA yenye watz wenye dini. Tusirumbane!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.