Mbunge wa Nkenge, Asumpta Mshama lazima ung'oke 2015!

Asumpta kwa kweli bado ananifanya nipatwe na kichefuchefu kila ninapolisikia jina lake...aaaaargh!
 
Habari zenu watanzania. Huu ni ujumbe mahususi kwa wana Nkenge na wapenda maendeleo ya jimbo letu. Hivi kweli tulikosa mtu makini, msomi na thabiti mwenye kuweza kuleta maendeleo kwa jimbo letu.

Huwa nashikwa na aibu kubwa pale ninapoona mawazo ya mbunge wetu akichangia hoja mbalimbali bungeni na hata nje ya bunge kwa maana hayo mawazo na michango yake huesabika kuwa ametumwa na wananchi wa Nkenge.

Ebu rejea michango yake ya escrow na katiba. Naomba kuwauliza wana Nkenge, je ni kweli hatuna watu wazuri wenye uwezo wa kuwasilisha mawazo na michango yetu iliyosahihi pale bungeni?

Nachelea kusema kuwa tukiendelea kumkumbatia huyu mama tunaendelea kudumaza maendeleo yetu na tunashusha hadhi yetu wanankenge.

Huyu mama ni mnazi wa chama sana...ila inamwomdolea sifa ya uwakilishi kwani wote walomchagua si kwamba hawaoni upande wa pili kama yeye..kwa werevu hataiona tena kura yao...
 
Wana Nkenge mjisaili kama tatizo ni mbunge ama nyie mlio mpigia kura!! Yule ni aibu ya Kagera akifuatiwa na Rweikiza wa Bukoba vijijini ambaye mchango wake Bungeni utadhani ametumwa na wana CCM wa Bkb si wananchi wa Bkb vijijini. Hawa ni aina ya Wabunge wa majimbo mengi ya Singida,Dodoma na Iringa! Mwenye akili amenipata!
 
Dk Kamala rudi kachukue jimbo...tunafahamu Brussels inakuhitaji sana ila bora ukaokoe jahazi la Nkenge
 
Kamala asahau kabisa mambo ya ubunge wa Jimbo la Nkenge. Aliwatukana wapiga kura kwamba wana lalamikia tatizo la TUMBILI ni kwa sababu hawawali. Je, alikuwa anamaanisha wale Walangila, Wambeija, Watwale na Mshomile wote wa Nkenge waanze kula TUMBILI aka Kafulila?
 
Akiwa ni miongoni mwa wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa, mbunge huyu amekuwa kama mtalii katika bunge letu mjini Dodoma.

Aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA maarufu kwa jina la " Focus" alijitoa dakika za mwisho na kumfanya mama huyu kupita bila kupingwa.

Lakini cha ajabu huyu mama hajawahi kuisimamia serikali kutokana na ahadi alizozitoa mh Rais ikiwamo kuunganishwa kwa jimbo la Ngenge katika gridi ya taifa.

Sasa basi sisi kama vijana tunakuahidi mh Mbunge kwamba hautorudi mjengoni tena baada ya 2015!

TUMECHOKA

KWANZA UMEMWITA MHESHIMIWA KWA UHESHIMIWA UPI ALIONAO? HUYO NI MWIZI ASUMPTA MSHANA.HANA CHA UHESHIMIWA.MTETEZI WA WEZI TANGU LINI AKAITWA MHESHIMIWA? hv MUNGU huwa anampango gani na hawa wanaoifilisi nchi? mbona hawafi? hebu tizama chenge tangu aanze kuiba hela humsikii akilazwa hoi hospital japo kuwa na matumaini karibu atakufa hakuna.mwangalie mwizi muhongo,tibaijuka,maswi mbona hawafi? hata huyo asumpta MUNGU ANAMPANGO GANI NA HAWA?
 
huyo mama alionesha wazi kanunuliwa ....kwenye bunge la escrow...si ndo yule aliropoka akaambiwa apeleke udhibitisho...akafuta kauli..ha ha ha ha nilishangaa sana.
 
Miaka yote hamkuuona ubaya wa huyu mama ila mnauona Leo kisa manataka kugombea. Siasa bwana...let's wait and see
 
akiwa ni miongoni mwa wabunge wa ccm waliopita bila kupingwa, mbunge huyu amekuwa kama mtalii katika bunge letu mjini dodoma.

Aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia chadema maarufu kwa jina la " focus" alijitoa dakika za mwisho na kumfanya mama huyu kupita bila kupingwa.

Lakini cha ajabu huyu mama hajawahi kuisimamia serikali kutokana na ahadi alizozitoa mh rais ikiwamo kuunganishwa kwa jimbo la ngenge katika gridi ya taifa.

Sasa basi sisi kama vijana tunakuahidi mh mbunge kwamba hautorudi mjengoni tena baada ya 2015!

Tumechoka

hebu weka picha yake tumuone
 
Hafai mkataeni hata huku kwetu yupo tumemchoka tumechoka ni mtu wa vsasi hawezi siasa kila wizara anayopata anaboronga na hatolewi kisa ni rafiki wa jk.
 
mlungula..... f

ocus hakua focused


Kama ndo huyo Focus Dj nafuu Assumpta.Angeitia CDM aibu,hawezi kujieleza na uelewa wake mdogo.WAPO WASOMI KIBAO HUKO,WAJITOKEZE TYPE YA AKINA NDYANABO, WAPO SANA HAPA DAR.
 
Akiwa ni miongoni mwa wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa, mbunge huyu amekuwa kama mtalii katika bunge letu mjini Dodoma.

Aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA maarufu kwa jina la " Focus" alijitoa dakika za mwisho na kumfanya mama huyu kupita bila kupingwa.

Lakini cha ajabu huyu mama hajawahi kuisimamia serikali kutokana na ahadi alizozitoa mh Rais ikiwamo kuunganishwa kwa jimbo la Ngenge katika gridi ya taifa.

Sasa basi sisi kama vijana tunakuahidi mh Mbunge kwamba hautorudi mjengoni tena baada ya 2015!

TUMECHOKA

Mamlaka zinazohusika fatilieni uraia wa huyu mama, haiwezekani mtu wa kagera akawa mjinga hivi
 
Back
Top Bottom