Milio ya Risasi yasikika mitaa ya Mwenge, Bodi ya Mikopo

Milio ya Risasi yasikika mitaa ya Mwenge, Bodi ya Mikopo

Kama ni askari polisi basi nitashangaa sans ilikuwaje sikuPanya road waljvuokuwa mtaani hawa hawa polisi walijificha.

Wasomi wanaodai haki yao ya kusoma huitiwa difenda hivi kwa nini nchi hii iko hivo??
 
Utasikia watu wameshakimbilia uvunguni na chini ya meza, mi nipo!

Mkuu sasa hivi wamevunja sakafu chini ya vitanda na kuchimba mahandaki. Yaani hata mlio wa baruti wanakimbilia kwenye mashimo kama vile panya aliyemwona paka
 
Wanajamvi mbona mnabaka mada? mtoa mada kauliza kinachojiri halafu mnaweka utani mara wanaume wa dar mara oh panya...HAIHUSU JIREKEBISHENI.
 
Nadhani tujifunze kuzoea hii milio na milipuko maana tunakokwenda!!! Mungu atusaidie tu
 
Mkuu,

Mimi nilikuwepo eneo la tukio mwanzo mwisho leo pale kulikwa na mechi kwenye uwanja wa vinyago na timu 1 wapo ilikuwa ya jeshi.

So kulikuwa na wanajeshi wamevalia kiraia wakati game ikichezwa kuna polisi waliingia wamevaa kiraia na kukamata watu sasa walipiga risasi 1 na kuanza kukamata watu balaa. Na milipuko ya risasi ililindima baada ya polisi moja kumkamata MP na hapo ndipo vituko na picha ya ngumi kama za kwenye video ilitokea.

MP alitembeza kichapo kwa baadhi ya polisi waliokuwa wameshika bunduki jamaa kapigana na polisi walikuwepo defender 1 land cruser na Noah 1 wao wanampiga na vitako vya bunduki yy anapiga ngumi hatimaye alizidiwa nguvu na wananchi walikuwa wanamtetea yule mwanajeshi na baadhi ya raia wamekamatwa.

Cha kushangaza na cha hatari wakati polisi wanapiga risasi, hakuna raia aliyekuwa anakimbia hata 1 wala kuogopa zaidi ya kuwazomea na kuwazonga. Hii ni hatari sana.

Polisi ilibidi wapige risasi nyingi zaidi ili kuwatawanya raia sababu walizuia magari yasitoke na watu waliowakamata
 
Ni mechi ilikuwa inachezwa uwanja wa mwenge lakini ndani yake palikuwa na watuhumiwa wa panya road ambao walipanga uporaji baada ya mechi ndio wamewahiwa na kukamatwa.

mkuu acha uongo acha unafiki bana jf hapa watu tunaichukulia zaidi ya tv na magazeti yenu ya shigongo??.
kiukweli hapakuwa na panya rod lakin tokea panya rod wametikisa dar polisi wanahaha kuwasaka kama kawaida yao kukamata walio na hatia na wasio na hatia ndio kinachoendelea.
ukinambia vinyago kulikuwa na panya rod wamepanga njama ya kuvamia nitakushangaa na kukuona ni mwongo uliyepitiliza.

je na yule MP waliyemkamata na aliyezua mtafaruku zaidi baada ya kukamatwa na kuanza kurushiana ngumi na polisi na wao wakimpiga na vitako vya bunduki naye alikuwa panya rodi?? na alikuwa kwenye hiyo mipango??.

watu kama ww ndio mlifanya siku ile jiji lijae hofu kubwa pasipo sababu ww nauhakika umeambiwa au sikia juu kwa juu ww unakuja hapa kusema eti ni panya rod
 
Tupo dar kiutafutaji zaidi sio bugudha za hawa wapuuzi,kuna haja gani ya kujibishana nao ilihali utaishia kupoteza maisha au viungo?

yaani Africa ingekuwa na watu wapumbavu kama wewe basi tungekuwa tunatawaliwa na wazungu..
 
yaani Africa ingekuwa na watu wapumbavu kama wewe basi tungekuwa tunatawaliwa na wazungu..

Kamanda vp tena?mbona tunaitana wapumbavu Kamanda ninayekuheshimu?Hayo ni maoni yangu,lazima nieleze kile ninachokiona,kwetu umeruni,huku nastrugle,kuna haja ya kuingia kwenye vurugu za Panyaroad wakati unaweza kuziepuka na maisha yakaendelea?Utaingia kwenye hizo fujo,Policcm wakakuchanganya huko ukala risasi,nini faida au impact yake?Ni bora nikafa kwenye mapambano ya kudai haki ambayo impact yake ni nationalwise kuliko kufa kwa suala la Panyaroad!
Hopefully umenielewa!
 
Back
Top Bottom