Recent content by kamikaze tz

  1. kamikaze tz

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa hii ndio tofauti kati ya waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa mkoa

    [emoji124][emoji124][emoji15]
  2. kamikaze tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Mimi kwetu ni “kitinda mimba “ wa mwisho kabisa, na nifamilia ya watoto 7. Lakini pamoja na kuwa ni mdogo kwa familia yangu lakini mziki wa shuhuli zangu hakuna anaeweza kufanya, sina utajiri lakini nashukuru naweza kupanga “leo nile nini”, nimejaribu hata kuwabeba wakubwa zangu kuwafundisha...
  3. kamikaze tz

    JamiiForums Tanzania Natamani sana na mno kumjua huyu anayempelekea Rais taarifa kwamba...

    [emoji124][emoji124]
  4. kamikaze tz

    JamiiForums Tanzania Faida za kumeza (shahawa) kwa mdomo wakati wa kufanya mapenzi

    Dah! Hizi tafiti sasa kiboko
  5. kamikaze tz

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Mkuu mi nataka nianze, je ni ipi nzuri ya kuanzia?
  6. kamikaze tz

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Thanks kwa somo, nitaanza soon hii kitu
  7. kamikaze tz

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

    Wataalamu hawapo humu jamani?
  8. kamikaze tz

    JamiiForums Tanzania Ngurumo: Mtanzania mwenzangu, nakuletea kitu cha ncha kali kinaitwa *SAUTI KUBWA

    Unavyomdhibiti mwanadamu katika haki basi tegemea mapambano makali [emoji124][emoji124][emoji124]
  9. kamikaze tz

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga, Chacha Waitara kazi imekushinda

    Kazi ya mbunge ni kuishauri serikali na kuisimamia kufikisha mahitaji ya wananchi majimboni mwao, na serikali isipotimiza ni wajibu wa mbunge kurudi kwa wananchi kuishitaki serikali kwamba haijakubali kutekeleza lile wananchi wanalotaka. Sasa mbunge wa Ukonga waitara kafanya lipi hapo?
  10. kamikaze tz

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga, Chacha Waitara kazi imekushinda

    Ninachokiona huyu mbunge labda hana mpango wa kuja tena kuomba kura kwa wananchi, ila anawatengenezea matokeo mabaya chama chake 2020 hata kama wataleta mtu mwingine wananchi hawatakuwa na imani.
  11. kamikaze tz

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga, Chacha Waitara kazi imekushinda

    Huyo mbunge wa ukonga Kweli wananchi tuliingia mkenge, nimefauatilia bunge tangu limeanza hajawahi kuzungumzia matengenezo ya barabara za jimbo lake. Wananchi tumewatuma wabunge ili watusemee kwa serikali mahitaji yetu.
Back
Top Bottom