Kwa sasa hii ndio tofauti kati ya waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa mkoa

Louis II

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,030
4,645
Hapa ukakasi upo wa hali ya juu!

Madaraka ya waziri yame be diminished na wahuni waliojimilikisha nchi
IMG_20180515_190740_583.jpg
 
Naona askri vijana wa kisabato katika uzinduzi wa mahubiri ya UFUNUO WA MATUMAINI kule jijini Mwanza, yaliyoanza 12/5/2018 na yataisha 2/6/2018. Nadhani mleta mada ni msabato mwenzangu, na lengo la uzi lilikuwa kutangaza mkutano. Mleta mada tayari nimekufikishia ujumbe kwa hadhira.
 
Umejidanganya mkuu....me ustaadh aisee
 
Back
Top Bottom