nae anataka kula humo humo, juzi kati walitengeneza kijipande pale mombasa karibu na UEFA night club huwezi amini ilikaa siku tano tu mashimo yakarudi tena na unaambiwa ilitumika kama milioni kumi na kenda inaumiza sanaAcheni kutetea ujinga, mbunge ni mjumbe kwenye baraza la madiwani, huko ndiko mafungu ya mitaani yanakotoka.
ha ha ha ha ha ha chief hayo ni maeneo yangu sana sema siku hizi wanoko wanasurvey sana maeneo hayo inaonekana kuna biashara zisizo za kawaida zinaendelea...nasubiri yule wa JAVA afungueUmezungumza vyema, baadae sogea panda za Big Johns upooze koo
ushauri mzuri sana huu mkuu....tutaufanyia kazi..sidhani kama Waitara ni kati ya ma-radical wa Chadema wenye kawaida ya kutoa "mapovu" bungeni.
..ushauri wangu ni nyinyi wapiga kura kukaa na mbunge wenu na kutafuta namna ya kupata fedha za ujenzi wa barabara uliyoitaja.
..umeeleza kwamba mbunge wenu "hana fedha" na anashindwa kwasababu anategemea serekali. Katika mazingira hayo, nyinyi ambao mnajua vyanzo mbadala vya fedha vilipo, inabidi mumshirikishe mbunge wenu ili aweze kufuatilia.
..Tanzania haina sheria ya wapiga kura kumfuta kazi mbunge kabla ya miaka 5. Hivyo mnapaswa kufanya kazi na Waitara, huku mkiendelea na mipango ya kumuondoa 2020.
Ila kwa vile umesema ni wa kwenye maeneo ya mataptap na vikaKwani wabunge wanajenga barabara!? Hamna madiwani wawasilishe hoja hiyo halmashauri ili DED ambae ndio serikali waiweke kwenye budget? Bungeni mbona kawasilisha yote muhimu killing ana na budget zinavyowasilishwa.!!!? CCM wanajenga uhasama na wapinzani na kuwaona hawastahili ? Barabara kweli zitajengwa? o mnafanyia huko huko basi chukua hizo kura za walevi wenzako mumpe ambae atajenga. Nonsense.
Kazi ya kujenga barabara ni ya serikali, sio ya mbunge, mbunge hakusanyi kodi, uliza ziko wapi 1.51T.
.Siku ilipowadia sisi vijana, bodaboda,madereva bajaji, wazee,akina mama kwa akina baba tulio wengi tulienda na waitara chacha tukiamini kuwa anakuja kuleta ukombozi uliotukuka wa Jimbo la ukonga.
Sasa mulihitaji ukombozi katika lipi wakati Waitara alipokea Jimbo likiwa katika hali njema?.,umepokea jimbo likiwa njema kwa sisi wafanyabiashara na kulikuwa hakuna maonevu yoyote.
Hafai basiWaitara ninayemjua mm loooh ni mbahili kuanzia kwenye maisha ya kawaida na kwa mtu baki je itakuwaje?
Siku moja nimemkuta dukani anadai mpaka 500 pambaneni na hali zenu hakuna namna.
kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa wear and tear ya goods...ni wkeli alipokea ktk hali nzuri hivi kwa akili yako hivyo vitu havihitaji marekebisho au hata maintainance ndugu???.
Sasa mulihitaji ukombozi katika lipi wakati Waitara alipokea Jimbo likiwa katika hali njema?.
Kabisaaa, bora tungemuweka ChachaHuyu jamaa hafai, ila ni mwiko kuwapa jimbo ccm, ccm ni mkosi kwa Taifa.
Vyama mbadala vichuje vizuri wagombea wamlete mgombea mwingine huyu jamaa hana uwezo naunga mkono hoja.
Waitara nakutana naye kila sku labda kwa hizi sku za bunge anapenda Dodoma kuliko chochoteee ni mbahili huyu baba sasa sjui kwa kujenga hizo barabara na ubahili wake itakuwajeee ana vimacho vidogooo balaaaa anaangalia kama haoni vile.Hafai basi
Umeonaeeee, alikuwa analiuza kwa 1bkatika wabunge wa chadema mbunge nisiyemuelewa ni uyu waitara...yn sijui walifikiria nn kumteua agombee....kwanza bila wakurya kumchimba beat kipindi kile cha uchaguzi alikua analiuza jimbo kwa jerry..
Naishi naye mtaa mmoja huwa anadai mpaka 500 nilimkuta dukani hata 200 haachi huyu mzeee ana maneno mengi porojooo anapenda pesaa kuzid hao waliomchagua wajiandae kisaikolojia 2020 ameshakusanya pesaaa za kuhongaUmeonaeeee, alikuwa analiuza kwa 1b
Aysee,Naishi naye mtaa mmoja huwa anadai mpaka 500 nilimkuta dukani hata 200 haachi huyu mzeee ana maneno mengi porojooo anapenda pesaa kuzid hao waliomchagua wajiandae kisaikolojia 2020 ameshakusanya pesaaa za kuhonga