Recent content by kamatiyafitna

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

    Msisahau kuwa yule mama Rita Mlaki alikuwa ni hawara wake enzi hizo ofisi zao zilikuwa zinatazamana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Kikwete kupima saratani, mzuri lakini una mashaka

    Serikali yake ime invest kiasi gani kwenye secta ya afya?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Fulikunjombe: Mke wa Maswi aliniangukia

    Hii ni kweli kabisa. Kama Kigoma Malima aliuliwa London UK unadhani watashindwa kumuua Zitto Dodoma? Halafu siku hizi wana viyu vya kukuondoa after 2months....taratibu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania Dubai: Ndg Omar Mjenga

    Kazi gani wakati watu wako kazinj hapa. Hii ndio kazi yenyewe yunayofanya 24/7
  5. K

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania Dubai: Ndg Omar Mjenga

    Hivi humu JF kuna mtu ambaye habaru zake hamuna? Naamini kuwa JF ni branch ya TISS. Haiwezekani mkawa na ao much data na zingine za ndani kuliko hata hao wanaofanya naye kazi. Lakini na mimi naweza kuongezea tuu kuwa huyu jamaa sifa yake nyingine ni ambitious. Sitoshangaa kusikia kampindua...
  6. K

    JamiiForums Tanzania UFISADI katika Mradi wa Bomba la Gesi: Serikali imechakachua bei(?)

    Ntafute Albert Marwa huyo ndiye architect wa dili nzima na mapesa yaliyoibiwa anajua yalipo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania Dubai: Ndg Omar Mjenga

    Utoto gani?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

    kwebye kasgfa ya dili la bomba la gesi mtwara nalo yumo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

    Ikifika jumamosi huu uzi utakuwa na mengi sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anzisha Tanzania Prostate Cancer Foundation

    Record ya JK secta ya afya ikoje?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kununua Treasury Bills za BOT

    Hii ngumu
  12. K

    JamiiForums Tanzania How James Rugemalira outsmarted the Government of Tanzania (GoT)

    Huyu mzee wanadai alibembeleza aachishwe kazi BOT Chezea Muhaya weweee
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kosa la Rugemalira ni nini ?

    Kweli.....
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Kikwete anabadilisha sana Bodyguard?

    Ungeliza kuna relationship ipi kati ya rais wetu na Tiss?
Back
Top Bottom