Rais Kikwete anzisha Tanzania Prostate Cancer Foundation

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,087
2,000
Raisi Kikwete,japokuwa umetuangusha sana watanzani na sidhani kama una jambo kubwa sana la kutuachia,nakushauri,kwakuwa umeona na umepitia machungu ya ugonjwa wa cancer ya tezi dume(prostate cancer), basi itakuwa vizuri na busara kama utaanzisha taasisi hiyo hapa nchini.

Jina la taasisi hiyo inaweza pia kuitwa Kikwete Cancer Foundation na inaweza kutiba magonjwa mengine ya cancer pia na kwa kufanya hivyo, naamini utakuwa umesaidia watanzania wengi na bila shaka utakuwa umetuachia kumbukumbu nzuri sana.

Mh.Rais, najua huwezi kosa wafadhili ukiwa na nia hiyo na hasa kwa kushirikiana na hospitali na madaktari waliokutibu na wafadhili wengine.

Ni ushauri tu.
 
SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,246
2,000
Raisi Kikwete,japokuwa umetuangusha sana watanzani na sidhani kama una jambo kubwa sana la kutuachia,nakushauri,kwakuwa umeona na umepitia machungu ya ugonjwa wa cancer ya tezi dume(prostate cancer), basi itakuwa vizuri na busara kama utaanzisha taasisi hiyo hapa nchini.

Jina la taasisi hiyo inaweza pia kuitwa Kikwete Cancer Foundation na inaweza kutiba magonjwa mengine ya cancer pia na kwa kufanya hivyo, naamini utakuwa umesaidia watanzania wengi na bila shaka utakuwa umetuachia kumbukumbu nzuri sana.

Mh.Raisi, najua huwezi kosa wafadhili ukiwa na nia hiyo na hasa kwa kushirikiana na hospitali na madaktari waliokutibu na wafadhili wengine.

Ni ushauri tu.
Ushauri muruwa sana hasa ukizingatia mazungumzo yake airport alipowasili toka marekani.
Alizungumzia kirefu jinsi ilivyo muhimu kupima afya mara kwa mara na akadhihirisha jinsi kansa ya tezi dume inavyonyemelea wanaume. Yeye alicheki afya yake marekani lakini hakugusia uwezo wa hospitali za mikoa hapa tanzania wa kucheki cancer status.

Akianzisha taasisi ya kansa cancer foundation itawasaidia wanaume wantanzania kujua afya yao ya tezi dume.
Professor Kikwete has all the justification to establish a prostate cancer foundation.
 
Mbali na hilo,naamini sasa hata fani ya udaktari ataiheshimu sana.
 
Mnyamahodzo

JF-Expert Member
May 23, 2008
1,933
2,000
Mkuu Salary Slip, sikubaliani na unaloshauri. Ninazo sababu kadhaa za kutokushauri uliloandika, kwa uchache nitaandika hapa chini.
1. Kwakuwa kuna taasisi inayoshughulikia jambo hili ojulikanayo kwa jina la Above 50+ (Above Fifty plus) iliyoanzishwa na Dr Emanuel Kandusi na kwakuwa taasisi hii imefanya makubwa ndani ya muda mfupi kuielimisha jamii juu ya tatizo hili na kuielekeza wapi vipimo vya awali vyaweza kupatikana nchini na wapi matibabu yanapatikana, hakuna sababu ya kuanzisha taasisi mpya badala ya kuiongezea nguvu iliyopo.

2. Kwakuwa kihistoria Kikwete hajawahi kuanzisha jambo likadumu zaidi ya Yale yaliyopo kwasababu ya cheo chake alochonacho, na kwakuwa hata WAMA haionyeshi dalili za kudumu muda mrefu baadaya ya kiongozi mkuu kutoka madarakani ukifanyia ulinganifu wa pesa walizopata na miradi/mambo waliyofanya, hivyo basi usitegemee foundation hiyo kudumu/kukaa japo kwa miaka 10 tu.

3. Kwakuwa, kihistoria Kikwete hajawahi kuonyesha kuwa mtu wa kuaminika na mwenye uadilifu katika fedha hats kwa waliochini take na kwakuwa unapozungumzia Foundation unazungumzia fedha na matumizi yenye nidhamu katika fedha na muda, Kikwete hafai kuanzisha foundation hiyo.

4. Kwakuwa mazungumzo aliyofanya Jana hayakuwa na lengo la kuonyesha uzito wa tatizo la prostate cancer bali kuwatoa watanzania katika kutafakari maamuzi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano dhidi ya viongozi watuhumiwa wa uzembe na wizi wa fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow, na kwa kuwa alithubutu kuwadanganya watanzania na wasio watanzania waliokuwa wakimsikiliza kuwa yeye hajui lolote kuhusu Escrow, ya kwamba uelewa wake unafana na reporter wa kawaida aliyekwenda halo, ukizingatia yeye ni kiongozi wa juu hapa nchini, hafai kuanzisha Taasisi hiyo na kama atalazimisha kuanzisha usitegemee kudumu bali utakuwa ni mradi wa watu Kula hela.
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,087
2,000
Raisi Kikwete,japokuwa umetuangusha sana watanzani na sidhani kama una jambo kubwa sana la kutuachia,nakushauri,kwakuwa umeona na umepitia machungu ya ugonjwa wa cancer ya tezi dume(prostate cancer), basi itakuwa vizuri na busara kama utaanzisha taasisi hiyo hapa nchini.

Jina la taasisi hiyo inaweza pia kuitwa Kikwete Cancer Foundation na inaweza kutiba magonjwa mengine ya cancer pia na kwa kufanya hivyo, naamini utakuwa umesaidia watanzania wengi na bila shaka utakuwa umetuachia kumbukumbu nzuri sana.

Mh.Raisi, najua huwezi kosa wafadhili ukiwa na nia hiyo na hasa kwa kushirikiana na hospitali na madaktari waliokutibu na wafadhili wengine.

Ni ushauri tu.
amakyasya kama ana ni nzuri,basi azingatie huu ushauri wangu nilioutoa siku kadhaa zilizopita.
 
Last edited by a moderator:

Desmund

Member
Dec 10, 2014
30
0

Naunga mkono, si lazima Proff. Kikwete kuanzisha foundation ya kushughulikia mambo ya saratani ya tezu dume na si busara pia shirika moja tu, kama Tanzania 50+ kushughulia tatizo hilo peke yake, kwani ni tatizo kubwa sana. Ni vema asasi/mashirika yakaanzishwa mengi yakashughulikia hilo suala, lakini kikubwa zaidi hata vifaatiba, dawa na vipimo vikawemo hospitalini. Juzi alipokuwa anatoa ushauri, alitamka kipimo na kasema upime cancer mark/PSA, ni hospitli ngapi hapa Dar, achilia Tanzania, zinazotoa vipimo hivyo ni kwa gharama kiasi gani? Je, pesa za kununulia vitu nilivyotaja hapo juu zipo au ziko ESCROW ACCOUNT?
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,111
2,000
Raisi Kikwete,japokuwa umetuangusha sana watanzani na sidhani kama una jambo kubwa sana la kutuachia,nakushauri,kwakuwa umeona na umepitia machungu ya ugonjwa wa cancer ya tezi dume(prostate cancer), basi itakuwa vizuri na busara kama utaanzisha taasisi hiyo hapa nchini.

Jina la taasisi hiyo inaweza pia kuitwa Kikwete Cancer Foundation na inaweza kutiba magonjwa mengine ya cancer pia na kwa kufanya hivyo, naamini utakuwa umesaidia watanzania wengi na bila shaka utakuwa umetuachia kumbukumbu nzuri sana.

Mh.Raisi, najua huwezi kosa wafadhili ukiwa na nia hiyo na hasa kwa kushirikiana na hospitali na madaktari waliokutibu na wafadhili wengine.

Ni ushauri tu.

Mkuu ushauri wako mzuri lakini kwa wakati huu iwe suala la kuwawezesha Muhimbili na Ocean Road vifaa tiba na dawa naamini madaktari wapo. Kikwete kaanzisha taasisi nyingi lakini wanaishia kuajiri watu bila kuwawezesha.
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,087
2,000
Naunga mkono, si lazima Proff. Kikwete kuanzisha foundation ya kushughulikia mambo ya saratani ya tezu dume na si busara pia shirika moja tu, kama Tanzania 50+ kushughulia tatizo hilo peke yake, kwani ni tatizo kubwa sana. Ni vema asasi/mashirika yakaanzishwa mengi yakashughulikia hilo suala, lakini kikubwa zaidi hata vifaatiba, dawa na vipimo vikawemo hospitalini. Juzi alipokuwa anatoa ushauri, alitamka kipimo na kasema upime cancer mark/PSA, ni hospitli ngapi hapa Dar, achilia Tanzania, zinazotoa vipimo hivyo ni kwa gharama kiasi gani? Je, pesa za kununulia vitu nilivyotaja hapo juu zipo au ziko ESCROW ACCOUNT?
Kama chenji ya rada ilielekezwa kwenye elimu,kuna ubaya gani chenji ya Escrow ikaelekezwa kwenye sector ya afya mfano kununulia vifaa tiba na madawa ya ugonjwa wa cancer na magonjwa mengine,
 
imaney

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
1,017
1,195
Naunga mguu,kikwete ana influence kubwa,akisimamia zipigwe campaign kama zile za CCM lol,watu watapata muamko na kwenda kucheki tezi dume......and atleast ataacha legacy,manake serikali yake imefanya madudu mengi na kuwaachia watanzania kumbu kumbu mbaya.....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom