Recent content by kamangaza25

  1. K

    Wema sepetu atamani afe kisa mitandao ya kijamii

    Huyu kweli msanii, na ndio raha yake kuandikwa
  2. K

    Ubaguzi dhidi ya watu wa kaskazini kunaweza kugawa nchi vipande viwili.

    Hiyo kanda ya Kaskazini ni Janga kuu kwa TZ, bora tuiuze Kenya hata Russia iliuza Alaska kwa USA
  3. K

    Ubaguzi dhidi ya watu wa kaskazini kunaweza kugawa nchi vipande viwili.

    Unaweza ukatueleza ni lini Nyerere alisema hayo dhidi ya watu wa Kaskazini?
  4. K

    Ukweli wa kifo cha Kighoma Ally Malima ni upi?

    Hawa watu shida kweli kweli
  5. K

    Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    vizuri sana Mh Rais kwa uteuzi huo, hakika anastahili kwa 100%
  6. K

    Kampeni meneja wa Katambi, mwenyekiti wa BAVICHA Shinyanga Mjini aanika siri za katambi kuhamia CCM

    Hakina tofauti na NP cha SA wkt wa kina Botha wakitawala SA
  7. K

    Nyerere Anatukuzwa Bure Kama mtu aliyetafuta uhuru Peke yake!

    Wewe unachuki binafsi na Mwalimu RIP, Mandela anasifika Duniani pote je alifungwa peke yake? Wapo waliokufa mbona hawasemwi? Mbufffff zako
  8. K

    Utabiri kwa uongozi wa Rais Magufuli

    Mrudisheni VASCO DA GAMA wenu
  9. K

    Utabiri kwa uongozi wa Rais Magufuli

    Kweni wkt wa tawala zilizopita hayo mabomu hayakuwepo?
  10. K

    Tukumbushane Wakuu wa Mikoa wa miaka ya nyuma

    Mejor Gen Makame Rashidi, Azan al jabri, John Mwakipesile, Abbas Kandoro (Mbeya) John Mhavile (Mor) Daniel Machemba RIP (MWZ na SHY) Christopher Liundi (KGM) Lt Gen Ndomba ( AR) Marry Chips Chipungahelo( DAR) Mzindakaya (KGM)
  11. K

    Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?

    Nenda Mbeya Mkuu, Arusha wengi wanaishi ktk Ndoto
  12. K

    Tukumbushane Wakuu wa Mikoa wa miaka ya nyuma

    Nawakumbuka, Christopher Liundi (Dar, Kigoma) Daniel Machemba(MZA, SHY) John Mhavile, (Mor) Marry Chipungahelo (Dar) Major Gen Makame Rashidi (Mbeya) John Mwakipesile (Mbeya) Azan Al Jabri (Mbeya) Christant Mzindakaya(KGM) Lt Gen Ndomba (AR)
  13. K

    Nilichojifunza uongozi wa Kikwete

    Acha matusi Mkuu
  14. K

    Yuko wapi mhe. Samwel Sitta mbona kimya sana

    Katika watu ambao ni wajinga duniani hata ahera watakuwa hivyo tu ni Samwel six
  15. K

    Hii ndiyo idadi kamili ya vichaa nchini

    Haki ya mungu kaka kweli kabisaa,,,,
Back
Top Bottom