Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Mkuu mimi ni mtu mzima, nimeshaishi kwenye hii dunia kwa zaidi ya miongo minne.Je rukwa hujawai kwenda ukafanye tafiti wanaona wakiwa naumri gani wewe unachokosea ni kuchanganya mila na dini kilasehemu watu wanamila zao uislam haumlazimishi mtu kumuodhesha mtoto kuhusu kutafsiri lugha sio hoja kwani hiyo sio lugha yao hata wewe kiha hujuwi kisukuma hujuwi kimasai pia hujuwi ndio mfumo uliotengenezwa ilikuwafanya watu wasitoke mapema iliwasijue haki zao alafu mtumwingine anakwambia kiswahili kinafaida kweli hili nenofaida linamaana yake sehem nyingine kiingereza hakisomewi nilugha kama zingine wakati wewe unaona huo usomi tuangalie nimkweli uislam unazuia mtu kusoma Zanzibar kabla muungano ilikuwa inazalisha wasomi wengi . pili hawo ambao wenyehiyo imani ambao wamesoma nini wameisaidia nchi nini zaidi yakufisadi kila kitu kwakuwa elimu niyakibaguzi nawao badala ya kuitumikia jamii wanatumikia taasisi Leo taasisi inakuwa tajiri sekali inafirisika madeni kibao hapa ndipo tz tunachelewa mzee magu ukikaza hapa tumetoboa sasa utasikia huu niuchochezi wakati nimkweli ndio maana wadau wanaomba mfumo waelimu ufumuliwe kila sehemu wamejaa watumikia mfumo utasikia kamata huyo ngoja tuone kama magu ataweza badili kitu ilibaadae tumshukuru au tumlaumu
Naelewa ninachokiandika humu ndani, kumekuwepo na tabia ya kuwavunja nguvu wale wanaosoma haswa hizi elimu za kimagharibi, kwa upande wa waislam.
Jirani yangu mtoto wa kike kamaliza form four mwaka juzi kapewa mimba kazaa, sasa hivi anashinda nyumbani na wazazi wake pamoja na mwanae, wazazi wameridhika kabisa kwa sababu dada za huyu binti na wao waliishia kidato cha nne au darasa la saba na wakapata uja uzito!, aliomaliza nao shule wapo form six wanasonga mbele.
Hakuna namna ambayo huyu aliyeishia kidato cha nne atakuja kuwa katika maisha ya ngazi moja na wenzake wanaoendelea kupata elimu.