Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Idadi kamili ya vichaa:
Research 450,000
BMK 490
Wasanii 10,000,000
Clouds FM 80
TBC 210
Jumla kuu 10,450,780
Nakubaliana na takwimu hizi kwa 100%
Idadi kamili ya vichaa:
Research 450,000
BMK 490
Wasanii 10,000,000
Clouds FM 80
TBC 210
Jumla kuu 10,450,780
Huyo ndio basi tena...Kwa hiyo hataweza kupona kamwe.
Na wewe ukiwemo maana na wewe umesha coment...Kwa jinsi mnavyokoment hapa jf, nakubaliana na huo utafiti.
Idadi kamili ya vichaa:
Research 450,000
BMK 490
Wasanii 10,000,000
Clouds FM 80
TBC 210
Jumla kuu 10,450,780
mimi namfahamu u knw le mburulaWengine wapo JF....
Na wewe ukiwemo maana na wewe umesha coment...
Pole mgonjwa unayejitambua.....Pole sana mgonjwa asiyejitambua.
Idadi kamili ni ile iliyochakachua rasimu
Idadi kamili ya vichaa:
Research 450,000
BMK 490
Wasanii 10,000,000
Clouds FM 80
TBC 210
Jumla kuu 10,450,780
Hata mimi sijiamini kama ni mzima, maana naona kama mambo yako tofauti sasa
sina uhakika kama ni akili yangu au ni vitu halisi, Nimeangalia Bunge la katiba nimeshuhudia
watu wazima wakitukana ovyo, na wakati linaishia nikaona wengine wakikata mauno kwa
furaha.
Jana nimeshuhudia mtu mzima akilia na inadaiwa jina lake limeingia kwa wapiga kura
wa katiba mpya hali ya kuwa hakuhudhuria huko Uchaguzini.
Nina wasiwasi na akili yangu maana sina uhakika kama hayo ninayoyaona na wenzangu
wanayaona vivyo hivyo.
Takwimu sio sahihi vichaa ni wengi zaidi ya hao hasa ukiongeza na wale mapashukuna waliokuwa mle ndani ya BMK waliopiga kura za ndio
Kwenye hiyo idadi yupo na Le Mutuz.