Kama kuna mtu anajiona yupo salama kwasababu ni Mwislamu au Mkristo huyo ni Mpumbavu sana, ingekuwa dini Fulani ndio tiketi ya Kwnda Mbinguni basi wale wa dini nyingne wanajiaumbua tu, siku ya Hukumu utahukumiwa kwa kwanini Ulikuwa Mkristo na sio kwnini ulikuwa mkristo na ukaukataa uislam, Siku...
Hata mimi naona kanichefua sana nilidhan anaongea vitu vya msingi kumbe pumba tu, Mwanzo umeanza vizuri kuanzia kat na mwisho ndio nimepata picha Kwamba shida yako ni Kueneza Chuki katika Dini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.