Recent content by kama zote

  1. kama zote

    JamiiForums Tanzania Happy new year

    Jamani me naomba tu niwatakie heri ya mwaka mpya ingawa nimechelewa ila so mbaya sana...Mungu awabariki Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kama zote

    JamiiForums Tanzania BASATA yawafungia Diamond Platnumz na Rayvanny kufanya onesho lolote. Tamasha la Wasafi lafutiwa kibali. 'Nyegezi' yawaponza

    Nimefurahi sanaa wimbo gani huo hata kama umekaa na ba mkwe wako ukipigwa tu unaanza kutafuta chocholo ukatize....usivuke mto kabla hujaagana na nyonga
  3. kama zote

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Afikishwa Mahakamani kwa kuzaa na mwanaye

    Me mwenyew sijaielewa hii story ebu kaa utulie uandike kwa kituo
  4. kama zote

    JamiiForums Tanzania Hello

    Jiangalie sana humu kuna mijimama inapulua mpaka ngozi
  5. kama zote

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli huwa ana nini kwenye mambo kama haya?

    Jamani kwan kuna ubaya gani...anasubili mambo yapoe aende kuwapa lambilambi
  6. kama zote

    JamiiForums Tanzania EID nataka niende Bukoba kutembea

    Katerero napajua mkuu labda unipeleke kaitaba
  7. kama zote

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba nzuri yenye vyumba vinne

    Jamani jibu gani iloo[emoji2]
  8. kama zote

    JamiiForums Tanzania EID nataka niende Bukoba kutembea

    Jamani safari hii eid nataka niende bk nshafika mala moja na wala sikutembea kiivyo ivo sasa iv nataka nitembee mpaka nipajue pote....wakuu mlioko huko naja jaman..mnipokee[emoji2]
  9. kama zote

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Mbona ni nying sana hiyo
  10. kama zote

    JamiiForums Tanzania Officially nampitisha Harmonize kama msanii bora 2018

    Kuna watu waliopewa hela kariakoo ndo wanampigia debe hapa ila si mbaya
  11. kama zote

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] ili jibu ulompa limenifurahisha sanaa
  12. kama zote

    JamiiForums Tanzania MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    Hii kitu naiitaji kwa gharama yoyote ile nimechoka kulizwa na mapenz aisee
  13. kama zote

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

    Bunge live hawaonyeshi ila upuuzi kama huu ndo wanahimiza na watu waangalie...shubaaamit
  14. kama zote

    JamiiForums Tanzania Majibu ya hoja za Lissu kuhusu ruzuku ya Chadema

    Allha akupe tahafif ulejee ukiwa bukher wa afya
Back
Top Bottom