Mfumo wa kuwafanyia usaili watu walioitwa kwenye usaili wa sekretarieti ya ajira kwenye kazi za serikali mimi binafsi naona ingekuwa vizuri usaili ukawa unafanyika kwa kila kanda au mkoa mfano kanda ya ziwa kituo cha usaili kiwe MWANZA,kanda ya kasikazini kituo kiwe Arusha na kwingineko...
Kwanza kabisa natoa pongezi kwa kazi mnayofanya ya kuhakikisha wanaotafuta ajira wanapata huduma nzuri na kwa gharama nafuu mfano kuanzishwa kutuma maombi ya kazi kwa njia ya mtandao na hutoaji wa taarifa kwa aliyechaguliwa kwenda kufanya usaili hata kupitia njia ya ujumbe wa simu ya mkononi...
Ndugu zangu watanzania napenda kushirikisha hili.Kwa kuwa tumekuwa na pande mbili zinazofutana kuhusu serikali mbili au tatu lakini pande hizi kila upande una sababu za msingi iwapo zinazidiana kwa uzito kwa upande wangu naona ili kuteta win win situation na kuonesha kuwa hakuna aliyeshinda au...
[Watu wengine mnanishangaza karne hii watu wengi wanalia na kupungukiwa na nguvu za kiume na kuanza kukimbilia hata kwa waganga wa kienyeji kutafuta dawa ya kuweka mambo sawa wewe wasema za Bwana zinazidi!!!!!!!!!!! jamani tuwape nini ili mtulie?????}
Dodoma. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ameelezea kukerwa na daraja la tano katika muundo mpya wa kupanga matokeo, kuitwa sifuri.
Dk. Shukuru Kawambwa, aliyasema hayo jana mjini Dodoma alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alivishutumu vyombo vya habari kwa...
MTANZANIA MZALENDO NI YUPI?????
Karibu mwanajf mzalendo.
Kwanza kabisa natoa shukrani zangu za dhati kwa watanzania ambao kila kukicha wako kazini kuakikisha Taifa ili linasonga mbele. Pia napenda kuwakumbusha wale wanaoigiza kufanya kazi na kuishia kula jasho la wengine kuwa...
Wewe umenifurahusha sana kwani umenikumbusha siku nilipoenda kwa wazazi wa kasichana nilikokuwa nakapenda sana ila kwao gati kali hivyo kutokana na kwamba ulikuwa msimu wa kahawa basi niliamua kwenda kwao nikiwa na magunia kuulizia kahawa wakati nikiwa na uhakika kuwa wao kahawa zao huwa wanaza...
Kinachoniudhi zaidi ni pale ninaposikia matangazo kwenye vyombo vya Habari kuwa kuna nafasi ya kusomea UALIMU kwa wenye DivIV 27,Form six kwa wenye Subs-jury pass 2 N.k Mimi hapo hasira kama ni TV au redio na switch OFF hadi hapo baadae na kama ni Gazeti nachana.Tangu lini mtu alishindwa...
Mke uliyenaye utafutaji hawezi ukimtafutia chance ya kukuza kipata anasema hii badilisha nifanye hii mara ile na anakutia mapressure hadi unakimbia nyumba ndogo na huyu aliyenaye anaweka nguvu zaidi kwan anajua una mke ili aweze kukufaidi zaidi.Ushauri Mke wako ongea naye kwa upole aendelee na...
Baada ya baba kuwa na familia alijaliwa watoto wa kike wawili na wa wakiume mmoja wakati huo huo baba huyu alijipenyeza na kwenda nyumba ndogo ambapo alijipatia pia mtoto wa kiume na baada ya kufikisha umri wa miaka 14 baba yake ameamua kuweka mambo wazi kwa mke wake na mke wake kumuelewa na...
Watu wengine kuelewa mpaka uandike mada ukiwa umewagusa kichwani.Unasema niwaguide wanaochangia!!!! we hujui kuwa akili ni nywele........changia kulingana na ulichoelewa kama una swali amsha mkono urusiwe kuuliza.
Kumekuwa na kamtindo ka wanaume kutopenda au kutojaribu kutumia njia za kunogesha tendo la ndoa, hasa pale wanapokuwa hapendi kupata mtoto kwa wakati huo.Kwa mfano vipo vidonge kwa wanaume ambavyo huzuia kutungisha mimba lakini sasa 99.9% hawatumii na hawako tayari kutumia vidonge hivyo na...
Neno kingamuzi limetumika kumaanisha matumizi ya vileo ambavyo hupelekea mtu kumtafuta mpenzi yoyote na kumpata na kutumia style zozote kutokana na msukumo unaotokana na kingamuzi alichotumia.Mfano anaweza kukutana na white au black au maji ya kunde,mwembamba,mrefu,mfupi n.k na hii inategemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.