KALYANKOZILE
Member
- Apr 24, 2013
- 19
- 1
Ndugu zangu watanzania napenda kushirikisha hili.Kwa kuwa tumekuwa na pande mbili zinazofutana kuhusu serikali mbili au tatu lakini pande hizi kila upande una sababu za msingi iwapo zinazidiana kwa uzito kwa upande wangu naona ili kuteta win win situation na kuonesha kuwa hakuna aliyeshinda au kushindwa basi tuwe na serikali moja na kinachotakiwa tuangalie itavyofanya kazi kwani muungano ni kuchukua vitu viwili au zaidi ya kimoja na kupata kitu kimoja imara na kikubwa.Watanzania tu wamoja kwa nini tushindwe kuelewana.Nakaribisha maoni kwa lugha ambayo si ya shali kwani nina kiu ya kuiona Tanzania mpya.mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika.