KALYANKOZILE
Member
- Apr 24, 2013
- 19
- 1
Wewe umenifurahusha sana kwani umenikumbusha siku nilipoenda kwa wazazi wa kasichana nilikokuwa nakapenda sana ila kwao gati kali hivyo kutokana na kwamba ulikuwa msimu wa kahawa basi niliamua kwenda kwao nikiwa na magunia kuulizia kahawa wakati nikiwa na uhakika kuwa wao kahawa zao huwa wanaza kwenye vyama vya ushirika na si kumuuzia mtu binafsi hivyo wala sikuwa na hela.Baada ya kuongea nao wanakiambia cc huwa tunauzia vyama vya ushirika na nilipotoka nje nikamuona mtoto na kuonyesha ishara (use of gestures) na anifuata huku akiaga kuwa anaenda kukata nyasi za kutandaza kwenye nyumba kukalia(Kwetu kiutamaduni kazi hiyo ni ya wadada) na mambo yakawa safi msichana akaniambia wazazi wangu wakali tuwe tunakutana sahemu siku fulani na saa fula hivyo naweza kusema hata wasingeweza gundua simu kwangu hapakuwa na tatizo kwani kwa ubunifu huo naweza kusema zilikuwa mvua za lashalasha tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ila mtoto huyu kwa sasa alishaolewa ila nikutana naye tukiongea kidogo namkumbusha zali la magunia basi kucheka....hatuna mbavu.