Naona huruma kumpiga chini, nifanyeje?

Naona huruma kumpiga chini, nifanyeje?

Kama wife alishakutishia kukupa sumu hapo kuna tatizo tena kubwa tu. Na alivyoondoka kwa kusema amechoka kuishi na wewe huenda alikuwa na hope ya kitu flani huko alikoenda. Anajishusha kwa sasa may be kwa kuwa alikuwa disappointed kwa alikokuwa anategemea. Kuwa makini sana
 
Kwa iyo unataka wife wko achune mabuzi afu awe anakupiga tafu?
 
we kaka wa ajabu kweli..ila nisikushangae wewe bali nimshangae shetani aliendani mwako... asee iyo sio akili ya kawaida eti unasema bila aibu kabisa unaona huruma kumuacha,, na ndoa je?? cast out that unclean spirit in u...
 
Kama unaruhusiwa kuoa owa! muhimu ni kila mmoja aishi kwake na uweze kuwatimizia majuku yao sawa bin sawia, kama huna nguvu za kutosha achana na hilo wazo rudi kwa mkeo mjenge familia yenu
 
kama unaona huruma kumpiga chini,mpige juu.
 
Yaani wanaume wa aina hii siwapendi ile mbaya. So selfish....
 
Nishajaribu sana. Nishampeleka shule ya hotel management alipomalza akasema hataki kazi za hotelini. Akataka fungua tailoring mart tukanunua vifaa vyote vya lazima mpaka leo vipo ndani, baadhi aligawa. Akasema anataka biashara za mikoani nikampa mtaji akaenda trip mbili tu akaacha, akasema anataka biashara ya duka nikampa mtaji, fremu nikamlipia duka lina bidhaa za kutosha anafungua akijisikia, say once a week or in two weeks. Nikiwa mkali anasema namnyanyasa! Mwe!!!!

Bro... kumbuka mkeo ni bora sana......ila changamoto ndo zinasumbua....nionacha hapa unataka kutafuta sababu ya kumuacha mkeo,,,,noooo...futa hiyo akili....mwache ale alale....afue akupikie,,, na mzigo sugua kama huna akili nzuri,,,,ile small hse,,, usiiache sugua mpaka kibendi ije, mpate wana,, kama wataka kumpa mtaji hiyo biashara iwe 50% 50% tena kwa maandishi bila yeye kujua, ukimwambia tu ni kwa usalama wetu......mkeo akistuka uwe tayari kukomaa....anza kuandaa na sababu za kujibu kwa paroko,,,, au unagoma shuruti yeyote,,, tena kwa mkato sihitaji kikao chochote wala mjadala.....aendelee kuishi tulee watoto au aanze mbele.....c anakataa kujishughulisha....atauliza shuka asubuhi,, mfunike alale na kiyoyozi mwekee......na wewe ukomae ukijua utakuwa na watoto kibao...uwe tayari kwa yote meku....
 
Hiv bado unaamin kwenye msemo wa zaman"Ukiniacha wewe sitapenda tena wala sitamwamini mtu mwingine"hebu kaache then katafute baada ya mwez kabla haujakuta mirango imefungwa.Naomba nikuulize kati ya hao wawli nan unampenda na nan unamuonea huruma?..ukpiata jibu endelea na unayempenda siku zote mapenz yananguvu zaid ya huruma

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hapo kati mamsapu aliniletea sana za kuleta na siku moja akanitamkia wazi kuwa amechoka kuishi na mimi (baadae aliomba msamaha akasema alipandwa na hasira). Kipindi tulichochuniana nikakutana na kadem fulani na nikawa nimeamua mamsap akisepa tu, navuta jumla hako kadada.(ni kadada kwa sababu kiumri nakazidi sana halafu ni kipotabo). Sasa wife hakusepa wala nini na mimi nikawa nimekolea nje mpaka nimepangishia chumba na gheto nimelikamilisha. Wife alikuja futa kauli zake za kuondoka hazingui tena na kawa mpole na mwenye heshima mpaka naona aibu kuendelea na nyumba ndogo. Wife Sitaki kumwacha na nyumba ndogo naona huruma kummwaga kwa sababu yaani kakolea kishenzi. Sidhani kama atamwamini mwanaume mwingine Mimi nikimtosa. Naogopa kumwambia wife nataka oa mke wa pili kwa sababu atasepa, japo ningewamudu na napenda wake wawili. Kitu kingine mamsap hapendi kujishughulisha na utafutaji hela wakati hii nyumba ndogo inajituma kwenye utafutaji kishenzi (mchaga), mara kadhaa ashanikwamua kwenye vishida vya lakilaki hizi. Sasa nipo kwenye dilemma!!!

yaani wewe ndio juha kweli,ndio umemtoa bikra?hahhaha,kumbuka,demu wako mpya ni demu wa zamani wa wengine wengi tu
 
Hapo kati mamsapu aliniletea sana za kuleta na siku moja akanitamkia wazi kuwa amechoka kuishi na mimi (baadae aliomba msamaha akasema alipandwa na hasira). Kipindi tulichochuniana nikakutana na kadem fulani na nikawa nimeamua mamsap akisepa tu, navuta jumla hako kadada.(ni kadada kwa sababu kiumri nakazidi sana halafu ni kipotabo). Sasa wife hakusepa wala nini na mimi nikawa nimekolea nje mpaka nimepangishia chumba na gheto nimelikamilisha. Wife alikuja futa kauli zake za kuondoka hazingui tena na kawa mpole na mwenye heshima mpaka naona aibu kuendelea na nyumba ndogo. Wife Sitaki kumwacha na nyumba ndogo naona huruma kummwaga kwa sababu yaani kakolea kishenzi. Sidhani kama atamwamini mwanaume mwingine Mimi nikimtosa. Naogopa kumwambia wife nataka oa mke wa pili kwa sababu atasepa, japo ningewamudu na napenda wake wawili. Kitu kingine mamsap hapendi kujishughulisha na utafutaji hela wakati hii nyumba ndogo inajituma kwenye utafutaji kishenzi (mchaga), mara kadhaa ashanikwamua kwenye vishida vya lakilaki hizi. Sasa nipo kwenye dilemma!!!

Usivutiwe na hilo kaka,jenga familia kama wife amejirudi hakuna sababu ya kuendelea na ushetani na ata wife akiwa mkorofi sio halali yako kutafuta nyumba ndogo
 
yaani wife awe mkorofi utulie tuu.....duh....dadangu hii ngumu kumesa....mmeoana muishi kwa upendo, amani na furaha...hayo ndo mahaba......ila ukorofi....ntakuachia nyumba nikatafute amani bibie....
 
Mke uliyenaye utafutaji hawezi ukimtafutia chance ya kukuza kipata anasema hii badilisha nifanye hii mara ile na anakutia mapressure hadi unakimbia nyumba ndogo na huyu aliyenaye anaweka nguvu zaidi kwan anajua una mke ili aweze kukufaidi zaidi.Ushauri Mke wako ongea naye kwa upole aendelee na biashara ya duka na piga chini nyumba ndogo haraka kwa kumueleza kuwa sasa unataka kutulia na familia yako ila usisahau kumshukuru kwa kukuhudumia kwenye kipindi cha mpito,tubu kwa dhambi utakazokuwa umetenda na muombe Mungu ailinde familia yako
 
Hapo kati mamsapu aliniletea sana za kuleta na siku moja akanitamkia wazi kuwa amechoka kuishi na mimi (baadae aliomba msamaha akasema alipandwa na hasira). Kipindi tulichochuniana nikakutana na kadem fulani na nikawa nimeamua mamsap akisepa tu, navuta jumla hako kadada.(ni kadada kwa sababu kiumri nakazidi sana halafu ni kipotabo). Sasa wife hakusepa wala nini na mimi nikawa nimekolea nje mpaka nimepangishia chumba na gheto nimelikamilisha. Wife alikuja futa kauli zake za kuondoka hazingui tena na kawa mpole na mwenye heshima mpaka naona aibu kuendelea na nyumba ndogo. Wife Sitaki kumwacha na nyumba ndogo naona huruma kummwaga kwa sababu yaani kakolea kishenzi. Sidhani kama atamwamini mwanaume mwingine Mimi nikimtosa. Naogopa kumwambia wife nataka oa mke wa pili kwa sababu atasepa, japo ningewamudu na napenda wake wawili. Kitu kingine mamsap hapendi kujishughulisha na utafutaji hela wakati hii nyumba ndogo inajituma kwenye utafutaji kishenzi (mchaga), mara kadhaa ashanikwamua kwenye vishida vya lakilaki hizi. Sasa nipo kwenye dilemma!!!

Kama sio story basi una matatizo makubwa mno.

Kwanza huyo uneyemuita 'wife' kirahisi hivyo dah!

Anyways maamuzi unayo, kuhusu NDOA na baraka za Mungu unajua cha kufanya. Acha uasherati na uzinzi, katubu mbele za Mungu na muombe msamaha mkeo muendeleze NDOA!!

Otherwise,,,,,,,,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom