Recent content by Kalvoo

  1. K

    At the beginning of the year it was 1.1.11 and today is 1.11.11

    mwana hiyo tarehe nakumbuka bibi yake shangazi ambae alikuwa mke wa kaka yake babu ambae alikuwa baba wa mama mkubwa wa babu babaake na mamaangu ilikuwa ni besdei yake
  2. K

    Kasuku Jitulize Nyumbani

    haika mbee. Naona mambo saiv n pouwa! Ila kifinyo kilitembea
  3. K

    Kasuku Jitulize Nyumbani

    Mamndenyi mbony tsangameny? Kwel kishanuka hapo kitaeleweka 2
  4. K

    Mapapai

    Hiv wanavyodai wanaenda na wakati, Hawajiuliz huowakat unakowapeleka? Ukilinganisha na ulikowatoa?
  5. K

    Jamani yeyote anaemtaka huyu demu!

    Jomba now days wakina dude wapo hadi kwenye mapenzi! Hela utatoa lakin ile maneno huigus
  6. K

    Mwenzenu nalia, naomba msaada!

    Dada kwa kweli inauma sana kumuacha itakusababishia mawazo mengi ila sasa hunajins kama ameanza kukuletea marinjirinji na magonjwa ni mengi.
  7. K

    Mapapai

    Kama ndio hivi miaka 20 ijayo watatembea uchi
  8. K

    Mapapai

    We lizzy unasema 2siangalie, feis anasema 2angalie chini. Sasa chini sketi fupi kuliko, halaf bado inampasuo najuu ndio balaa kabisa. bora wapi sasa
  9. K

    Je natimiza majukumu ya kuwa baba?

    safi sana caroline, gud idea!
  10. K

    Jamani yeyote anaemtaka huyu demu!

    Kama ulimuangalia tu ukampa fifte, je ukimgusa? Niakaunti yako.
  11. K

    Website za bongo flavour

    bwa mkubwa phonerotica niyainjili au?
  12. K

    Ndivyo itakavyokua..!

    Refa wa yanga na simba juzi kusho, majeshi ya nato kushoto wale baadhi ya walibia kushoto.
  13. K

    hili gundu au?

    Jomba mrudie mungu wako kwanzia sasa coz itakuwa labda nawe ukombioni.
  14. K

    Lady jaydee ni mjamzito

    Acheni hizo bwana! Kabla hajaolewa, kulikuwa na maswali, baada yakuolewa maswali yakazidi. Sasa kama kajaaliwa na mjawake kaeni kimya.
Back
Top Bottom