Mapapai

jamani umeongea kwa uchungu sana hadi mi roho imeniuma
lkn kaka ndo utandawazi huo kinadada wanajiachia wanavotaka
ili kukwepa vishawishi inabidi usiangalie mpendwa wangu
dah....pole sana
 
tuwaulize na wao kwann nn wanapenda kuangalia katikati ya viouno vya wanaume wanatafuta nn
fanya savei ukikutana na binti lazima akuangalie ulipofungia mkanda kwanza ndio akunagalie usoni
 
Wewe chukulia tu kuwa umepewa sinema ya bure. Zamani wakati bado ninasoma ili uone matiti ilikuwa mpaka ukaangalie vitafunio au vjarida vyenye hizo picha siku hizi mambo yako hadharani tu.
 
We unafanya nini kuangalia vifua vya watu???
Tafuta miwani ya mbao...na kama ni mkeo ndio unaona anatega mfunike maana ulivyokasirika....
macho kazi yake kuona. lakini inabidi yaone vitu vya kiustaarabu sio kama mapapai. ndio maana mnavaa nguo za kulalia mtaani
 
jamani umeongea kwa uchungu sana hadi mi roho imeniuma
lkn kaka ndo utandawazi huo kinadada wanajiachia wanavotaka
ili kukwepa vishawishi inabidi usiangalie mpendwa wangu
dah....pole sana
haiwezekani kuzuia macho kutizama. lakini inabidi yatizame vitu vizuri. na kama hamjui hiyo ni moja ya sababu ya kuvunjika kwa ndoa nyingi kwasababu wanaume tumeumbwa tukitawaliwa na macho kimapenzi. hivyo tunaweza ona kwa njee kama mtu ananifaa lakini baada ya kuishi pamoja kwa muda mabo ndipo yanapo badilika. ndio maana unaona ndoa zinafungwa kiufahari lakini zinakaa muda mfupi tu
 
Lizzy, anasema ''tusiangalie vifua vya watu!'' Tutaachaje kuviangalia wkt viko mbele yetu? Tukivaa miwani ya mbao hatutaweza kuona maua ya ulimwengu.

Feis Buku, anasema " tujiinamie chini ili tusiendelee kuona" Hata kama tutajiinamia si tayari macho yatakuwa yamerekodi na kuweka kumbukumbu akilini?

Tunaomba mtupe njia ya kuweza kuendana na hali hii bila kutuathili.
nashukuru kwa kuliona hilo maana hayo yote hayawezi fanyika bila kuona
 
Imekuwa ahuweni kwa wale wasio na Wowowo la haja! Na kwa wale wenye Wowowo ni faida mara mbili...! Mungu apewe sifa.
 
Lizzy, anasema ''tusiangalie vifua vya watu!'' Tutaachaje kuviangalia wkt viko mbele yetu? Tukivaa miwani ya mbao hatutaweza kuona maua ya ulimwengu.

Feis Buku, anasema " tujiinamie chini ili tusiendelee kuona" Hata kama tutajiinamia si tayari macho yatakuwa yamerekodi na kuweka kumbukumbu akilini?

Tunaomba mtupe njia ya kuweza kuendana na hali hii bila kutuathili.
Mtu yuko mbele yako...waweza chagua kuangalia sehemu nyingine yoyote isipokua kifua kama kinakusumbua. Kuhusu kuona maua...chuma uangalie ukiwa ndani kwako.
 
hii staili inatia aibu! wala haivutii ni udhalilishaji... ukikutana watu waliojipindia, wanayachomoa yote yanakaa nje ka mapapai ndo mkome tabia hii!
 
We lizzy unasema 2siangalie, feis anasema 2angalie chini. Sasa chini sketi fupi kuliko, halaf bado inampasuo najuu ndio balaa kabisa. bora wapi sasa
 
pole sana sasa ulikuwa unataka nini?

hivi nyumbani kwako binti yako anaweza kutoka chumbani na chupi na sidiria? Lakini mbona mkienda swimming coral beach unakuta baba anakaa na watoto wanakula wakiwa wamevaa swimming costume ambayo basically ni chupi tu na sidiria.Unanipata hapo Mkuu? Tatizo liko hapa la huu usasa.Ni bora jamii iamue kuhusu uhalali wa mambo haya,vinginevyo ulalamishi(to be disgusted) utaendelea kuwepo tu.
 
Back
Top Bottom