Lady jaydee ni mjamzito

hizi habari zimezagaa if it is true CONGRATULATION MUMY umewakata ulimi wenye kiherehere; i am so proud of you; utakuwa role model kwa wanawake wengi wa kitanzania wanaonyanyasika kwenye ndoa na jamii kwa kuitwa wagumba na majina yasiyofaa. gooooooo komando GOD BLESS YOU ALWAYS! MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU

Kwani tatizo nini hapo? Hastahili kupata ujauzito? nyie ndo mnao ziba ridhiki za watu
 
hizi habari zimezagaa if it is true CONGRATULATION MUMY umewakata ulimi wenye kiherehere; i am so proud of you; utakuwa role model kwa wanawake wengi wa kitanzania wanaonyanyasika kwenye ndoa na jamii kwa kuitwa wagumba na majina yasiyofaa. gooooooo komando GOD BLESS YOU ALWAYS! MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU

ID yako inaweza ikawa na ukweli..
 
Acheni hizo bwana! Kabla hajaolewa, kulikuwa na maswali, baada yakuolewa maswali yakazidi. Sasa kama kajaaliwa na mjawake kaeni kimya.
 
ni binadamu kama nyie ana haki zote za kufanya anachotaka asa long as hajamtenda mungu kosa,kuzaa,kuwa na wajukuu yote heri..hongera jide kama kweli na kama si kweli pia hongera kwa uhamuzi wako...
 
Mna uhakika kuwa hawezi kuzaa?? Acheni kuongelea habari za watu bwana ambazo hazina ukweli!

si unajua ujana maji moto, inasemekana ali-flash mara nyingi enzi zake, uterus (womb) ilikwanguliwa mno kiasi kwamba fertelization haiwezekani TENA.! Hebu tusikie mwisho wa tetesi utakuwaje.
 
Mdanganykaji?icje ikawa umedanganyika
hizi habari zimezagaa if it is true CONGRATULATION MUMY umewakata ulimi wenye kiherehere; i am so proud of you; utakuwa role model kwa wanawake wengi wa kitanzania wanaonyanyasika kwenye ndoa na jamii kwa kuitwa wagumba na majina yasiyofaa. gooooooo komando GOD BLESS YOU ALWAYS! MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU
 
How far are u sure kua yule mtoto ni wa Habash?
ukisema katoka nje ya ndoa unakosea sana kwan gadner hana uwezo wa kuzaa mbona ye anae mtoto wa mkewe wa kwanza,hakuna kinachoshindikana chini ya jua wewe hata kwa uchawi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom