umemtoa kwa hamsini????
umemhonga elfu hamsini?na kutembea nae bado sio??????
sasa hapo si umejitangaza buzi????/afanyaje??????
Maadam umejitangazia kuwa wewe BUZI ni lazima uchunwe!
umemtoa kwa hamsini????
umemhonga elfu hamsini?na kutembea nae bado sio??????
sasa hapo si umejitangaza buzi????/afanyaje??????
Baada ya kurejea bongo leo nikiwa kwenye pirika zangu za kikazi nikabahatika kukutana na mrembo wa haja!
Yani demu nimeonana nae kwa mara yakwanza mchana wa leo,na nikamtoa hamsini hataratiba ya kula tunda tu bado eti jioni hii kananitumia sms hii jamani:
Habari yako sweet?sasa kunashida moja imejitokeza kidogo naomba nisaidie laki tano (500,000/=) ni2mie kwa njia ya m-pesa namba iyo 076... plz.
Sijajibu chochote na anabp sasa hv kwa fujo sana!

hamsini? daaah ana bahati sana...yaaani mi ndo inhekuwa posa hiyo
Njoo unijaribu mimi nitakupa zaidi ya fifty mla huliwa:lol:
Anapatikana wapi huyo dada nimpe hongera kwa njia aliyotumia kukukataa
anajua hautomtafuta tena kwahiyo atakuwa huru.
we nawe ......... loh! utatoaje hela ivo kirahisi sasa unaombwa laki 5 unalia nn sasa wakati ww ndio ulilianzisha loh!Baada ya kurejea bongo leo nikiwa kwenye pirika zangu za kikazi nikabahatika kukutana na mrembo wa haja!
Yani demu nimeonana nae kwa mara yakwanza mchana wa leo,na nikamtoa hamsini hataratiba ya kula tunda tu bado eti jioni hii kananitumia sms hii jamani:
Habari yako sweet?sasa kunashida moja imejitokeza kidogo naomba nisaidie laki tano (500,000/=) ni2mie kwa njia ya m-pesa namba iyo 076... plz.
Sijajibu chochote na anabp sasa hv kwa fujo sana!
Mmmhh nishang'atwa na nyoka sina imani na nyie viumbe ng'oooo! Ni pm wewe!da dei one hamsini? natamani ningepata hiyo bahati naomba ni pm hata mimi mzuri na nakuhaidi nitakuwa mwaminifu na sitakupiga mizinga mikubwa
Hahahah wanawake wengine wanajidharaulisha sana. Day one unaenda lunch, unashikishwa 50 bado unalete ujinga wako. Watu hawajui kucheza nakarata zao. Ungedondoka mikononi mwangu ungejuta maana hela ungeleta mwenyewe bila kusema chochote!! ukuje kwangu mwaya achana na huyo jini mahaba! lol.
safiii!! buzi/mbuzi/zoba/zuzuhapendwi mtu ila pesa akili changanya na zako
We bado sana.Baada ya kurejea bongo leo nikiwa kwenye pirika zangu za kikazi nikabahatika kukutana na mrembo wa haja!