Jaman sio Mwanza pekee ni nchi nzima kwa sababu zifuatazo;
1. Gharama kubwa za uendeshaji zikijumuisha kodi kubwa, faini pamoja na makosa mbali mbali toka kwa wasimamizi wa mamlaka husika-TRA.
Wakati mwingine faini haziendan na biashara, mtaji wa milion 2 unapigwa faini ya milion 5! Hili...
Rushwa ndio imeingezeka sema haipigwi waz waz!!!! Mm ndo nakwambia na urasimu ni wa kutosha kama unabisha nenda TRA UONE WANAVYOONEA WAFANYA BIASHARA!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.