Recent content by kaliwonela

  1. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania Mkono wa piston 1tr

    Nop hiyo engine ni majanga. Niuzie huo mkono tu
  2. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania Mkono wa piston 1tr

    Msaada natafuta mkono wa piston engine ya 1TR-FE. kama kuna mtu anao. gari ni hiace. Model ni TC-TRH122k-ERMDK Asante
  3. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu KKKT: Hakuna kiumbe/kiongozi yeyote atakayeweza kulitikisa Kanisa,hajazaliwa na hatozaliwa

    Ndugu rudia tena kusoma ulichoandika, maneno yako ni makali sana na ya hatari
  4. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania Tuwaenzi wanamuziki, wanamichezo na Wasanii toka Mbeya

    Gigmoney
  5. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania Tuwaenzi wanamuziki, wanamichezo na Wasanii toka Mbeya

    Ben Bamfuchile
  6. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania Tuwaenzi wanamuziki, wanamichezo na Wasanii toka Mbeya

    Mkoa wa Mbeya ni mkoa uliojaliwa kuwa na vipaji sana. Leo naona tuwakumbuke kwa kuwataja hao watu wenye asili ya huko na waliouletea mkoa huu sifa kubwa ndani na nje ya Tanzania 1. Omary Mkakile (Mkali) 2._Ezekiel Greyson Jujuman 3. Edgar Fongo 4. Bass guitarist John Mwalyanga 5. Bahati...
  7. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania Wahasibu, kwanini yanayofundishwa mitihani ya CPA yasiingizwe kwenye mitaala ya vyuoni?

    CPA should be attained, not acquired. Academic papers + uzoefu na uzeefu katika kazi iwe = CPA
  8. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Condom la John na mpira mbona lipo wazi sana?

    Jaribu kuelewa mantiki ya mleta hoja
  9. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania TATA Truck Inauzwa

    Sijaelewa mkuu Saju B
  10. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania Nabii anakuja, jiandae kumlaki

    Hio venue itatoshea kweli?
  11. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania TATA Truck Inauzwa

    3.5 tonnes ni ya mwaka 2015 ipo hapa Dar
  12. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania TATA Truck Inauzwa

    Biashara iliyokuwa inatumika ilifungwa
  13. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania Pdiddy where are you?

    .
  14. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania TATA Truck Inauzwa

    Gari aina ya TATA L09 linauzwa. Liko katika hali nzuri limetembea kms 10,600. Bei ni 38 million. Usajili ni T 253 DJQ Mawasiliano. 0754 300 880
  15. kaliwonela

    JamiiForums Tanzania Wapi alipo winga teleza Ramadhan Singano ""Messi""?

    Nasikia Huwa anaswalisha pale Azam Mosque Mbande
Back
Top Bottom