Recent content by kalisa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mh Sitta kuhusu wahamiaji haramu sikuungi mkono

    Siita yuko sahihi 100% Katiba ya Tanzania Ibara ya 13 inatamka kuwa binadamu wote wanastahili heshima na utu (sasa wanapewa jina la haramu), wanastahili kulindwa na sharia (operation haifuati sharia), etc. JK kavunja katiba yake mwenyewe kwa kukurupuka. UDHR, na human rights instruments zote...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mh Sitta kuhusu wahamiaji haramu sikuungi mkono

    Bubu msemaovyo amejipa sura ya jinni, na roho yake hivohivo. Hivi kweli mamako angekuwa ndo amekuzaa, amekaa maisha yake yote na akiwa na umri wa miaka 70 anatenganishwa na familia yake, huo ni utu?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete anamwogopa Sitta?

    Kikwete alikosea sana. yeye ni raisi, lazima aache kuchukua hatua za kibaguzi na kukiuka haki za binadamu, Sitta ni mwanasheria, anajua anachokisema, Kikwete ni mchumi hajui sharia na haki za binadamu. Ame-commit crime ya ethnic cleansing, nadhani Kikwete anastahili kupelekwa the Hague...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wanateswa sana Ngara

    jk ametesa ngombe, wana laana, mtaona tu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wajue wahima wa Geita wanaoitwa wahamiaji haramu sasa

    Wahima Geita wanafukuzwa kurudishwa Rwanda. soma hapa. Watendaji kata na Maafisa uhamiaji Geita wageuza mtaji agizo la Rais Kikwete, waomba rushwa kwa wahamiaji haramu - Geita Yetu. lakini historia inaonyesha ni Watanzania Nini chimbuko la Wazinza/wahima/wahinda, ambao wajihi wao ni kama...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wanateswa sana Ngara

    du! WATU WABAYA, HUNA HURUMA ELUNGATA
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wanateswa sana Ngara

    Raia wa Tanzania wenye asili ya Rwanda (wenye uraia) wamekamatwa na wanahojiwa kwenye kituo cha polisi Benaco. Ngombe wao walikamatwa, ni siku ya nne sasa, wakafungiwa kwenye mnada wa Kafuha, Ngara. Mnada wa Kafuha umejengwa kwa matofari, na ngombe hawajala majani kwa siku ya nne wala kunywa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mh. Kikwete, suara la wanyarwanda kurudi kwao lisifumbiwe macho, warudi kwao

    Nimekwenda Tabora kuna Waarabu kibao, walikuja kufanya bishara ya utumwa, lakini wengine wakarudi Oman, wengine wapo, ndio hali halisi ya uhamiaji wa watu. Baadhi wapo Zanzibar, ndugu zao Oman, kuna watu wameenda Ulaya wakawa raia, ndugu zao wako Africa, nadhani ni kawaida kwa jamii zote...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Kandoro haoni ushombe wake?

    Abbas Kandoro amewasilisha maoni ya wakuu wa mikoa ya katiba. akasema eti watu wenye mzazi mmoja ambaye si raia hawana haki ya uraia Tanzania. Eti allegiance yao itakuwa elsewhere!!! yeye mwenye ni shombe la kiarabu, hajioni? mbona kapewa madaraka? Yaani Kandoro ndo mwenye kutoa hilo pendekezo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania News of Rwanda yaandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega Burundi....

    Ila huu utamaduni wa vyombo vya habari kuweka uwanja wa mapambano kwenye cyber si mzuri, watu hawafikilii, ni kutukana tu, hakuna hoja hata moja!
  11. K

    JamiiForums Tanzania News of Rwanda yaandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega Burundi....

    Nimesoma kwenye social media. waandishi wa Rwanda wanampaka matope JK, eti kwasababu ni mzaliwa wa Bagamoyo huenda ni Mrundi, kwasababu watumwa waliletwa na kutupwa Bagamoyo wakitokea Burundi na Congo. Sasa wanamzushia mke wake eti ni Binamu wa Habyarimana, yote ili kumwonyesha kwanini...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vimewakimbiza wahamiaji, si Kikwete!

    Kumbe Kikwete hana roho mbaya ya kulipiza kisasi kwa watu wasio na hatia kwa kukosana na kiongozi tu wa nchi jirani. Magazeti kweli yalipotosha saaana! Eti ndoa zivunjike, eti wiki mbili, n.k Kajubi Mukajanga wa MCT ana kazi ngumu kabisa ya kuvinyoosha kabisa, hasa Gazeti la Mtanzania...
  13. K

    JamiiForums Tanzania KUHUSU WANYARWANDA NA WARUNDI, kauli ya JK!!!!!!!!!!!!!

    Operation haijaanza. Vyombo vya usalama vinaweka mkakati wa kuwasaka majambazi. Ila watu, hasa kutoka Rwanda wame-panic na kuondoka wenyewe, wanadhani Kagame na Kikwete ni maadui kwahiyo ni hatua ya makusudi. wanakimbizwa na yanayosemwa kwenye vyombo vya habari ikiwemo Jamii Forum. halafu katika...
  14. K

    JamiiForums Tanzania mtikila anaweza kushitakiwa mahakama gani? kwa gross racism

    Kwa kutamka maneno haya, na kueneza hii genocide ideology, Mtikla anaweza kushitakiwa wapi? Hasa hao Watutsi wa Rwanda acha waondoke kwani walioko Tanzania ambao ni Wahangaza na wengineo tunawajua Hawa watu sio ndugu zetu labda kama hujui Historia ya HIMA EMPIRE na Wabantu kwa kukusaidia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la JK dhidi ya wahamiaji haramu siku 3 zimebaki,Mkuu wa mkoa wa Kagera ameripoti haya

    Taifa lina hasara kuwa na watu wa sampuli hii, yaani watoa maoni. Inasikitisha sana! wanashabikia ethnic cleansing maskini wakati Watanzania wengi tu wanaishi nchi za watu, na siku hizi uhamiaji kitu cha kawaida. Kuhusu udogo wa Rwanda, hiyo ni kukufuru. wazungu ndo waliamua ukubwa wa kila nchi...
Back
Top Bottom