Ng'ombe wanateswa sana Ngara

Ng'ombe wanateswa sana Ngara

kalisa

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
37
Reaction score
7
Raia wa Tanzania wenye asili ya Rwanda (wenye uraia) wamekamatwa na wanahojiwa kwenye kituo cha polisi Benaco. Ngombe wao walikamatwa, ni siku ya nne sasa, wakafungiwa kwenye mnada wa Kafuha, Ngara. Mnada wa Kafuha umejengwa kwa matofari, na ngombe hawajala majani kwa siku ya nne wala kunywa maji. Baadhi ya ngombe walitoroka na waliporudi vijijini, wamekatwakatwa miguu na wenyeji, wamelala wanakufa kwa kuvuja damu. Najua humu ndani watu watasema, wauwawe tuu! Wateswe tu! Lakini huu ni ukatiri ! kwa binadamu na wanyama
 
Mtumie ujumbe Bi Helena Bi Lion(Bisimba) aitishe mkutano wa waandishi wa habari!
 
Mkuu kalisa ina maana hapo kijijini/mtaani kwenu hakuna walaji wa nyama ya ng'ombe ?.

Raia wa Tanzania wenye asili ya Rwanda (wenye uraia) wamekamatwa na wanahojiwa kwenye kituo cha polisi Benaco. Ngombe wao walikamatwa, ni siku ya nne sasa, wakafungiwa kwenye mnada wa Kafuha, Ngara. Mnada wa Kafuha umejengwa kwa matofari, na ngombe hawajala majani kwa siku ya nne wala kunywa maji. Baadhi ya ngombe walitoroka na waliporudi vijijini, wamekatwakatwa miguu na wenyeji, wamelala wanakufa kwa kuvuja damu. Najua humu ndani watu watasema, wauwawe tuu! Wateswe tu! Lakini huu ni ukatiri ! kwa binadamu na wanyama
 
Raia wa Tanzania wenye asili ya Rwanda (wenye uraia) wamekamatwa na wanahojiwa kwenye kituo cha polisi Benaco. Ngombe wao walikamatwa, ni siku ya nne sasa, wakafungiwa kwenye mnada wa Kafuha, Ngara. Mnada wa Kafuha umejengwa kwa matofari, na ngombe hawajala majani kwa siku ya nne wala kunywa maji. Baadhi ya ngombe walitoroka na waliporudi vijijini, wamekatwakatwa miguu na wenyeji, wamelala wanakufa kwa kuvuja damu. Najua humu ndani watu watasema, wauwawe tuu! Wateswe tu! Lakini huu ni ukatiri ! kwa binadamu na wanyama

Mi nilishawaambia sie miafrika ni makatili sana!Huu ukondoo tulionao ni kwa sababu ya umaskini na ujinga tu.Mungu hawezi kutupa utajiri na ujanja maana tukipewa humu duniani itakuwa uwanja wa kuonyesha ubabe wetu tu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Bisimba hawezi kuwatetea kwa sababu hawana uhusiano na Chadema au Kanda ya Kaskazini.
1236975_10153190703560405_1423375010_n.jpg
 
Peleka hii taarifa kwa TSPCS NA WSPCA kazi yao ni kutetea haki za wanyama.
 
Iwapo ni kweli juu ya unyama huo, hiyo inasikitisha sana. Hata Mungu hapendi maangamizi kukata viumbe miguu na kutelekezwa, hakuwaumba kwa minajili hiyo. Inasikitisha kwa viumbe hao ambao ni vitoweo vyetu halaal.
 
Raia wa Tanzania wenye asili ya Rwanda (wenye uraia) wamekamatwa na wanahojiwa kwenye kituo cha polisi Benaco. Ngombe wao walikamatwa, ni siku ya nne sasa, wakafungiwa kwenye mnada wa Kafuha, Ngara. Mnada wa Kafuha umejengwa kwa matofari, na ngombe hawajala majani kwa siku ya nne wala kunywa maji. Baadhi ya ngombe walitoroka na waliporudi vijijini, wamekatwakatwa miguu na wenyeji, wamelala wanakufa kwa kuvuja damu. Najua humu ndani watu watasema, wauwawe tuu! Wateswe tu! Lakini huu ni ukatiri ! kwa binadamu na wanyama
Sambaza taarifa hii kwenye vyombo vingine vya habari, hasa juu ya watanzania wenye asili ya Rwanda. watu wanapaswa kuelewa kuwa target ni wahamiaji haramu sio tu watu wenye asili ya mikoa jirani, tukifanya hivyo Tanzania hapa watabaki wagogo tu ambao kwao katikati! kila kabila litajikuta lina 'kwao'
 
Raia wa Tanzania wenye asili ya Rwanda (wenye uraia) wamekamatwa na wanahojiwa kwenye kituo cha polisi Benaco. Ngombe wao walikamatwa, ni siku ya nne sasa, wakafungiwa kwenye mnada wa Kafuha, Ngara. Mnada wa Kafuha umejengwa kwa matofari, na ngombe hawajala majani kwa siku ya nne wala kunywa maji. Baadhi ya ngombe walitoroka na waliporudi vijijini, wamekatwakatwa miguu na wenyeji, wamelala wanakufa kwa kuvuja damu. Najua humu ndani watu watasema, wauwawe tuu! Wateswe tu! Lakini huu ni ukatiri ! kwa binadamu na wanyama
Ni ukatiri kwa binadamu na wanyamA kuwa ni wa Rwanda? Juzi kwenye mapori ya burigi wale maaskari wa Burigi game Reserves walipokuwa wanapiga ng'ombe wa wakazi wa maeneo ya Biharamulo mbona hukuja hapa kuandika kama ni ukatili.Sasa leo kwa kuwa ni ng'ombe wa Wanyarwanda wenzako umekuwa ukatili, shame on you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom