Vyombo vya habari vimewakimbiza wahamiaji, si Kikwete!

RUTAJUMBUKIRWA

Senior Member
Joined
May 3, 2009
Posts
185
Reaction score
89
Kwanza nimwombe radhi Kikwete, kwani ni miongoni mwa watu waliodhani kuwa kweli alitoa kauli kali dhidi ya wahamiaji wa Rwanda akiwaita haramu, na kusema baada ya wiki mbili operation kali itafuata.

Sio kweli. Nilishangaa, kwani marais wamekuwa wakija Kagera miaka nenda rudi, wakipewa malalamiko kama haya, majibu ya Nyerere siku zote yalikuwa kwamba hawa ni binadamu waafrica wenzetu na kwao hakuna ardhi, wakoloni waliwaonea wakati wa kuweka mipaka. Katika majumuisho yake pale Bukoba kwanza alisema kuwa hawa ni binadamu hawataswagwa kama Ngombe.

Watauza mali zao kisha wambieni, safari njema. Na hajasema vyombo vya ulinzi na usalama vihusike katika operation, make watu wamepanick eti jeshi linakuja. Pia magazeti yamesema Ndoa zivunjike, Kikwete hajasema familia zitenganishwe. Jamii Forum na baadhi ya magazeti wamesema walengwa ni wanyarwanda, si kweli, alitoa mwongozo wa jumla, na kutaja wafugaji kutoka Uganda wanaoingizwa na jamaa wa Mtukula.

Pia alikiri kuwa kuna wanyarwanda wa walipewa uraia mwaka 1982, na kusisitiza utaratibu ufuatwe. Isa Michuzi ame-post majumuisho ya Bukoba, sikilizeni: PRESIDENT KIKWETE ON ILLEGAL IMMIGRANTS' REPATRIATION FROM TANZANIA - YouTube
 
Kwani mauaji ya rwanda yalichochewa na nani? Si vyombo vya habari,vyombo vya habari vikitaka kuvuruga nchi ni rahisi sana,ndiyo maana inalazimika kuvizibiti wakati mwingine.
 
Naunga mkono kauli ya JK wahamiaji HEWA fukuza tu... Wanatujazia Ardhi kihasara hasara..
 
Kikwete ameliilingiza taifa ktk machafuko kwa kutoa maneno mabaya sana dhidi ya raiya wa nchi jirani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wahamiaji wengi walikuwepo toka zamani tujue kwamba hii mipaka iliwekwa na wazungu kwa maslahi yao lakin kabla ya apo watu waliishi bila kubaguana.
mim naona waachwe ardhi yenyewe ni kubwa sana.
cha muhimu polis wawajibishe wale wezi au majambazi bila kujali ni mtanzania au mhamiaji.
 
Kumbe Kikwete hana roho mbaya ya kulipiza kisasi kwa watu wasio na hatia kwa kukosana na kiongozi tu wa nchi jirani. Magazeti kweli yalipotosha saaana! Eti ndoa zivunjike, eti wiki mbili, n.k Kajubi Mukajanga wa MCT ana kazi ngumu kabisa ya kuvinyoosha kabisa, hasa Gazeti la Mtanzania linalotaka kuuzika kwa nguvu kwa kutumia uchochezi wa vita na kupandisha watu mori. Au Majira, etc. Hatari vyombo vya habari Tanzania!!!!
Kwanza nimwombe radhi Kikwete, kwani ni miongoni mwa watu waliodhani kuwa kweli alitoa kauli kali dhidi ya wahamiaji wa Rwanda akiwaita haramu, na kusema baada ya wiki mbili operation kali itafuata. sio kweli. Nilishangaa, kwani marais wamekuwa wakija Kagera miaka nenda rudi, wakipewa malalamiko kama haya, majibu ya Nyerere siku zote yalikuwa kwamba hawa ni binadamu waafrica wenzetu na kwao hakuna ardhi, wakoloni waliwaonea wakati wa kuweka mipaka. Katika majumuisho yake pale Bukoba kwanza alisema kuwa hawa ni binadamu hawataswagwa kama Ngombe. Watauza mali zao kisha wambieni, safari njema. Na hajasema vyombo vya ulinzi na usalama vihusike katika operation, make watu wamepanick eti jeshi linakuja. Pia magazeti yamesema Ndoa zivunjike, Kikwete hajasema familia zitenganishwe. Jamii Forum na baadhi ya magazeti wamesema walengwa ni wanyarwanda, si kweli, alitoa mwongozo wa jumla, na kutaja wafugaji kutoka Uganda wanaoingizwa na jamaa wa Mtukula. Pia alikiri kuwa kuna wanyarwanda wa walipewa uraia mwaka 1982, na kusisitiza utaratibu ufuatwe. Isa Michuzi ame-post majumuisho ya Bukoba, sikilizeni: PRESIDENT KIKWETE ON ILLEGAL IMMIGRANTS' REPATRIATION FROM TANZANIA - YouTube
 
Kikwete ameliilingiza taifa ktk machafuko kwa kutoa maneno mabaya sana dhidi ya raiya wa nchi jirani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wewe ni mnyarwanda, vinginevyo unatrgemewa kutaja "maneno mabaya sana" aliyoyatoa raisi wetu Kikwete. ni yale ya ethiopia au yale ya kagera au yote? ni maneno gani hayo? Jaribu kuwa objective kidogo, great thinker!
 
Wewe mleta post utakuwa na matatizo mbona jk tuliweza kumsikiliza watu wengi sana sijui wewe unamaanisha nini kuanza kutunga baadhi ya mambo ambayo jk hakusema na yale aliyosema unayaacha huu ni utoto.
 
Warwanda mda wenu wa kuishi nchini umeisha mtaishia kujifaragua tu lakini lazima muondoke,
huu uongo mnaoandika utakoma tu wala hauna mda mrefu kwa sasa mmeakuwa kama mtu aliyeachika mnahangaika day to day.
 
wahamiaji wengi walikuwepo toka zamani tujue kwamba hii mipaka iliwekwa na wazungu kwa maslahi yao lakin kabla ya apo watu waliishi bila kubaguana.
mim naona waachwe ardhi yenyewe ni kubwa sana.
cha muhimu polis wawajibishe wale wezi au majambazi bila kujali ni mtanzania au mhamiaji.
Ha ha ha ha! Warwanda bana hatuna ardhi ya kuwapa watu ambao ni waharifu wanaiba na kuuwa watu wetu rudini kwenu.
 
Kwanza nimwombe radhi Kikwete, kwani ni miongoni mwa watu waliodhani kuwa kweli alitoa kauli kali dhidi ya wahamiaji wa Rwanda akiwaita haramu, na kusema baada ya wiki mbili operation kali itafuata. sio kweli. Nilishangaa, kwani marais wamekuwa wakija Kagera miaka nenda rudi, wakipewa malalamiko kama haya, majibu ya Nyerere siku zote yalikuwa kwamba hawa ni binadamu waafrica wenzetu na kwao hakuna ardhi, wakoloni waliwaonea wakati wa kuweka mipaka. Katika majumuisho yake pale Bukoba kwanza alisema kuwa hawa ni binadamu hawataswagwa kama Ngombe. Watauza mali zao kisha wambieni, safari njema. Na hajasema vyombo vya ulinzi na usalama vihusike katika operation, make watu wamepanick eti jeshi linakuja. Pia magazeti yamesema Ndoa zivunjike, Kikwete hajasema familia zitenganishwe. Jamii Forum na baadhi ya magazeti wamesema walengwa ni wanyarwanda, si kweli, alitoa mwongozo wa jumla, na kutaja wafugaji kutoka Uganda wanaoingizwa na jamaa wa Mtukula. Pia alikiri kuwa kuna wanyarwanda wa walipewa uraia mwaka 1982, na kusisitiza utaratibu ufuatwe. Isa Michuzi ame-post majumuisho ya Bukoba, sikilizeni: PRESIDENT KIKWETE ON ILLEGAL IMMIGRANTS' REPATRIATION FROM TANZANIA - YouTube

mtahangaika sana kwenu ni lazima mrudi, wanafiki waubwa nyie! Tanzania ya leo siyo ile ya jana wala ilivyokuwa juzi, tumeshindwa kubeba wapumbavu wasiobebeka! si mnasema mnaye raisi makini? mfuateni sasa awape ardhi! kazi kuzaliana kama m..e...n....d..e tu wakabila wakubwa nyie.
 
Waliokuwa wa kwanza kupotosha Tamko la Kikwete ni Wanyarwanda wenyewe...nadhani wapo watu huko Kigali hawakutumia busara katika kulipokea tamko la Kikwete.
 
Wewe mleta post utakuwa na matatizo mbona jk tuliweza kumsikiliza watu wengi sana sijui wewe unamaanisha nini kuanza kutunga baadhi ya mambo ambayo jk hakusema na yale aliyosema unayaacha huu ni utoto.

huyu mnafiki alituma uzi hapa akiponda uamuzi wa kikwete sasa kaja na jingine, ndiyo maana kwao hakukaliki, sasa tumewajua jaribuni kwa muuaji mwenzenu M7.
 
kama siyo Kikwete basi sasa vyombo na viseme wasomali wote waondoke kama wataondoka. acha hizo!
 
Wewe ni mnyarwanda, vinginevyo unatrgemewa kutaja "maneno mabaya sana" aliyoyatoa raisi wetu Kikwete. ni yale ya ethiopia au yale ya kagera au yote? ni maneno gani hayo? Jaribu kuwa objective kidogo, great thinker!

hilo halina shaka, hawezi kuwa mtanzania huyo! ni kile kizazi cha magenge ya wakimbizi haramu na wauaji wakuu.
 
Kwani mauaji ya rwanda yalichochewa na nani? Si vyombo vya habari,vyombo vya habari vikitaka kuvuruga nchi ni rahisi sana,ndiyo maana inalazimika kuvizibiti wakati mwingine.

endelea kuwadanganya wakimbizi haramu wenzako wa kitusi na ndoto zenu mfu za bahima empire!
 
Kwanza nimwombe radhi Kikwete, kwani ni miongoni mwa watu waliodhani kuwa kweli alitoa kauli kali dhidi ya wahamiaji wa Rwanda akiwaita haramu, na kusema baada ya wiki mbili operation kali itafuata. sio kweli. Nilishangaa, kwani marais wamekuwa wakija Kagera miaka nenda rudi, wakipewa malalamiko kama haya, majibu ya Nyerere siku zote yalikuwa kwamba hawa ni binadamu waafrica wenzetu na kwao hakuna ardhi, wakoloni waliwaonea wakati wa kuweka mipaka. Katika majumuisho yake pale Bukoba kwanza alisema kuwa hawa ni binadamu hawataswagwa kama Ngombe. Watauza mali zao kisha wambieni, safari njema. Na hajasema vyombo vya ulinzi na usalama vihusike katika operation, make watu wamepanick eti jeshi linakuja. Pia magazeti yamesema Ndoa zivunjike, Kikwete hajasema familia zitenganishwe. Jamii Forum na baadhi ya magazeti wamesema walengwa ni wanyarwanda, si kweli, alitoa mwongozo wa jumla, na kutaja wafugaji kutoka Uganda wanaoingizwa na jamaa wa Mtukula. Pia alikiri kuwa kuna wanyarwanda wa walipewa uraia mwaka 1982, na kusisitiza utaratibu ufuatwe. Isa Michuzi ame-post majumuisho ya Bukoba, sikilizeni: PRESIDENT KIKWETE ON ILLEGAL IMMIGRANTS' REPATRIATION FROM TANZANIA - YouTube

this is utter - nonsense!
 
Kwani mauaji ya rwanda yalichochewa na nani? Si vyombo vya habari,vyombo vya habari vikitaka kuvuruga nchi ni rahisi sana,ndiyo maana inalazimika kuvizibiti wakati mwingine.

Acha Uongo, mauaji yalisababishwa na Kagame.
 
Back
Top Bottom