simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,760
- 9,665
Vizuri hajakubaliana na unazi dhahiri wa serikali ya ccm.
Ni mara nyingi sana Sitta amekuwa akipingana na msimamo wa serikali ambayo yeye ni mmoja wa viongozi wake waandamizi. Amekuwa akifanya hivyo openly kabisa kwa kwenda kwenye vyombo vya habari na kuipinga na kuikosoa serikali.
Hivi karibuni Amiri Jeshi Mkuu, ambaye pia ndiye rais wa nchi ameagiza wahamiaji haramu waondolewe hapa nchini. Naamini hili limefanikiwa vizuri sana. Ajabu anatokeza mheshimiwa Sitta na kulikosoa zoezi lililoanzishwa na Boss wake mbele ya vyombo vya habari! Si mara ya kwanza wala ya pili bali ni mara ya kumi sasa akiwa tofauti na msimamo wa serikali na pia chama chake. Iliwahi kutolewa hoja na kina Mgeha kuwa Sitta afukuzwe uanachama, lakini hii hoja haikushika kasi na bado Kikwete ameendelea kumkumbatia. Kwa kweli sijajua mantiki ya kuwa na kiongozi kama Sitta kwenye baraza la mawaziri. Ningelikuwa Kikwete ningeisha mtema siku nyingi sana! Anaidhoofisha sana taasisi ya uwajibikaji wa pamoja. Pia anaidhoofisha sana taasisi ya Urais. Hili Kikwete halioni?[/QUOT
uwajibikaji wa pamoja kwenye nchi maskini isiyo na uwazi wala tamaduni ya uwajibikaji kwenye utawala ni kulindana ambapo ni kitu kibaya zaidi..we might indeed need more Sittas in this cabinet
kwa maana hiyo vingozi wote wenye mtizamo tofauti na rais wafukuzwe siyo?
Ni mara nyingi sana Sitta amekuwa akipingana na msimamo wa serikali ambayo yeye ni mmoja wa viongozi wake waandamizi. Amekuwa akifanya hivyo openly kabisa kwa kwenda kwenye vyombo vya habari na kuipinga na kuikosoa serikali.
Hivi karibuni Amiri Jeshi Mkuu, ambaye pia ndiye rais wa nchi ameagiza wahamiaji haramu waondolewe hapa nchini. Naamini hili limefanikiwa vizuri sana. Ajabu anatokeza mheshimiwa Sitta na kulikosoa zoezi lililoanzishwa na Boss wake mbele ya vyombo vya habari! Si mara ya kwanza wala ya pili bali ni mara ya kumi sasa akiwa tofauti na msimamo wa serikali na pia chama chake. Iliwahi kutolewa hoja na kina Mgeha kuwa Sitta afukuzwe uanachama, lakini hii hoja haikushika kasi na bado Kikwete ameendelea kumkumbatia. Kwa kweli sijajua mantiki ya kuwa na kiongozi kama Sitta kwenye baraza la mawaziri. Ningelikuwa Kikwete ningeisha mtema siku nyingi sana! Anaidhoofisha sana taasisi ya uwajibikaji wa pamoja. Pia anaidhoofisha sana taasisi ya Urais. Hili Kikwete halioni?
Mpaka hapo naendelea kuwahesabu wahamiaji haramu humu JF wakiongozwa na Ruzibiza.
Sita yule ni mhanga aliyejeruhiwa kwa kuukosa uspika bado anaganga majeraha kwa kuamini Kikwete hathubutu Kumtosa.
Hata tamko lake kuhusu Kutengwa Tanzania EAC, kwa Sita nimfahamuvyo limekuwa too low, too diluted. Kikwete piga chini hii kitu acha uoga.